Orodha Rasmi ya watu wanaopitia Maisha magumu nchini Tanzania

Orodha Rasmi ya watu wanaopitia Maisha magumu nchini Tanzania

Mada nzuri sana hii! Nashangaa hata huko majeshini wamejaa watu wafupi kama nyundo! Matokeo yake jeshi linadharauliwa tofauti kabisa na enzi za Mwl. Kweli hili ni janga la taifa. Na mimi ni mfupi ujue.
 
Tangu nakua hili kundi watu hawachoki kuliandama,

Hakuna Suluhu hapo ndio changamoto hiyo.

Bora hata single mother akiolewa akapumzika kidogo,

Rafiki yangu mmoja alikuwa akinitania akisema; ufupi ni donda lisilo tibika.
Bora mtu azaliwe na UKIMWI atatumia ARV kuliko kuzaliwa mfupi utatumia nini?

Mimi namjibu si nitavaa viatu virefu, basi tunacheka lakini Kwa ndani ananikera😀😀
Sidhani kama unaweza kereka kufikia hatua ya kusema eti unapitia maisha magumu,how?

Unaweza kereka kweli na ufupi ukapata stress? Huu ni uongo sasa.
 
Kwenye wanawake wafupi sio kweli.
Mimi ni mrefu sana na huniambii kitu kwenye wanawake wafupi, I mean they're flexible na wanajaa mikononi easily.
Sijui wengine ila mimi napenda mwanamke akiwa mfupi zaidi yangu it makes you feel in control and more superior unakuwa unamuangalia kwa chini hivi.

Niikuja kwa hilo tu.
Hupendi Mwanamke awe superior?
 
Utakua mwalimu wa chuo..sio mwalimu wa ufala p/s.

#MaendeleoHayanaChama
Hahaha watu wanashindwa kuelewa hii kada ipoje,Ndo maana kila mara utasikia watu wanawaponda walimu.Walimu wenye msongo wa mawazo na fukara ni wale wanaoishi na kufanya kazi huko vichakani haijalishi anafundisha chuo,Secondary au Primary.
 
Back
Top Bottom