Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
lol hujalala tuHaha una vituko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lol hujalala tuHaha una vituko
Mbona unadhalilisha wake za watu. Mitandao inatunza kumbukumbu miaka sasa hujui hao uliowataja sasa ivi wanafamilia na watoto wakubwa wanaojitambua.Kila rijali huwa kuna mwanamke maarufu anayemhusudu ila ndo hivyo huishia kumtafuna kimoyomoyo kutokana na kutokuwepo kwa nafasi ya kuweza kumpata. Ifuatayo ni orodha tukufu ya wanawake maarufu niliowahi kuwala kwa macho. Nitaanzia wale wakongwe hadi hawa wa sasa.
1. Miriam Odemba
Huyu manzi kwa mara ya kwanza nilimuona kwenye tangazo la lotion ambalo jina sikumbuki. Ilikuwa mwaka 1998. Hapo nilikuwa shule ya msingi. Nilipoingia sekondari nikawa simsikii tena.
2. Nora
Huyu mwigizaji nikiwa form one ndo alianza kuvuma akawa anaandikwa sana magazetini. Wakati nikiendelea kumtafuna kwa macho ikatangazwa kuwa kaolewa na mtu aitwaye Ngwizukulu Jilala. Mke wa mtu ni sumu.
3. Sinta
Huyu naye kavuma sana nyakati hizohizo kama za Nora. Msanii Juma Nature alituwakilisha vijana wote kwenye kulifaidi penzi la huyu mtoto mzuri.
4. Kemy
Huyu dada mwigizaji alikuwa anaonekana kama umri umesogea ila mimi haikujalisha. Nilimtaka na huo umri wake.
5. Irene Uwoya
Kwa kumbukumbu zangu mwaka 2004 hadi 2006 nilikuwa bize sana na msuli wa PCM hivyo nikajikuta mambo ya kipuuzi nimepunguza sana. Lakini 2006 kina Uwoya na wenzake walianza kuvuma. Nikajikuta nae nimemtamani ila mchezaji Ndikumana ndo akawa mshindi wa jumla baada ya kumuoa.
6. Wema
Huyu mwanzoni hakunivutia ila alivyoanza kufungasha ile tandam nikanasa.
7. Waziri Kariuki
Huyu mwanamama ni mzuri kinoma. Inagwa umri kanizidi ila anawafunika hadi watoto wa 2000.
Kuwala kwa macho haimaanishi kuwa CHAPUTAAndika kwa mkazo Mwanachama Mwamdamizi wa Chama Cha Punyeto Tanzania (CHAPUTA)
Acha kukaza fuvuMbona unadhalilisha wake za watu. Mitandao inatunza kumbukumbu miaka sasa hujui hao uliowataja sasa ivi wanafamilia na watoto wakubwa wanaojitambua.
Ungejisikiaje endapo mwanao au mkeo angesoma uzi kama huu jamaa wanasema wanatamani wakutafune kiboga hicho
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Maria Carey, sasa ivi ana miaka 54 lakn kwangu ni wa moto sanaKila rijali huwa kuna mwanamke maarufu anayemhusudu ila ndo hivyo huishia kumtafuna kimoyomoyo kutokana na kutokuwepo kwa nafasi ya kuweza kumpata. Ifuatayo ni orodha tukufu ya wanawake maarufu niliowahi kuwala kwa macho. Nitaanzia wale wakongwe hadi hawa wa sasa.
1. Miriam Odemba
Huyu manzi kwa mara ya kwanza nilimuona kwenye tangazo la lotion ambalo jina sikumbuki. Ilikuwa mwaka 1998. Hapo nilikuwa shule ya msingi. Nilipoingia sekondari nikawa simsikii tena.
2. Nora
Huyu mwigizaji nikiwa form one ndo alianza kuvuma akawa anaandikwa sana magazetini. Wakati nikiendelea kumtafuna kwa macho ikatangazwa kuwa kaolewa na mtu aitwaye Ngwizukulu Jilala. Mke wa mtu ni sumu.
3. Sinta
Huyu naye kavuma sana nyakati hizohizo kama za Nora. Msanii Juma Nature alituwakilisha vijana wote kwenye kulifaidi penzi la huyu mtoto mzuri.
4. Kemy
Huyu dada mwigizaji alikuwa anaonekana kama umri umesogea ila mimi haikujalisha. Nilimtaka na huo umri wake.
5. Irene Uwoya
Kwa kumbukumbu zangu mwaka 2004 hadi 2006 nilikuwa bize sana na msuli wa PCM hivyo nikajikuta mambo ya kipuuzi nimepunguza sana. Lakini 2006 kina Uwoya na wenzake walianza kuvuma. Nikajikuta nae nimemtamani ila mchezaji Ndikumana ndo akawa mshindi wa jumla baada ya kumuoa.
6. Wema
Huyu mwanzoni hakunivutia ila alivyoanza kufungasha ile tandam nikanasa.
7. Waziri Kariuki
Huyu mwanamama ni mzuri kinoma. Inagwa umri kanizidi ila anawafunika hadi watoto wa 2000.
Hapana.Ila kwa ulivyoandika bro, wengi wanadhani wanawake wote ulio wataja umeshawahi kujichukulia Sheria mkononi.
[emoji2][emoji2][emoji2]1. Christina Shusho
2. Tima wa Huba.
Hao wanatoshaaaaa!!
Huyu dj fetty alinifanya nikaoa mwanamke anaefanana nae.....nilikuwa nikiona tu sura yake na kile kicheko chake dah nilijitahidi kumsaka nilikuja kuishia kumshika mkono tu wakati tunasalimiana siku hiyo nilifurahi mnoo1.Amina chifupa
2.kajala masanja
3.dj Fetty
4.wema sepetu
5.mboni masimba
Ina maanisha kuwala kwa machoKuwala kwa macho haimaanishi kuwa CHAPUTA
Hahahahaha...dahHuyu dj fetty alinifanya nikaoa mwanamke anaefanana nae.....nilikuwa nikiona tu sura yake na kile kicheko chake dah nilijitahidi kumsaka nilikuja kuishia kumshika mkono tu wakati tunasalimiana siku hiyo nilifurahi mnoo
analika kwa mpango maalumu tu, mpango wa ndoa takatifuMmmh, kwani yeye haliki mkuu!
Hata wewe wajuba wanakukulaga kwa macho kupitia hiyo picha yako😁😂😂😂😂🙌🙌
Mimi nilimuwekaga kama avatar kwenye Nokia yangu yeye pamoja na mboni masimba mwezi huu namuweka mboni mwezi ujao yeye kipindi hiko ni miaka ya 2006 Hawa wadada walisumbua sana mjiniHuyu dj fetty alinifanya nikaoa mwanamke anaefanana nae.....nilikuwa nikiona tu sura yake na kile kicheko chake dah nilijitahidi kumsaka nilikuja kuishia kumshika mkono tu wakati tunasalimiana siku hiyo nilifurahi mnoo
Usidanganyike.analika kwa mpango maalumu tu, mpango wa ndoa takatifu
Kalikua pisi balaa, au yule nargis MohamedLisa Jensen 😂
Ungeukata huo mkono na kuuweka kwenye makumbusho.Huyu dj fetty alinifanya nikaoa mwanamke anaefanana nae.....nilikuwa nikiona tu sura yake na kile kicheko chake dah nilijitahidi kumsaka nilikuja kuishia kumshika mkono tu wakati tunasalimiana siku hiyo nilifurahi mnoo
Namba 7 usingeitaja Uzi ungekuwa batiriKila rijali huwa kuna mwanamke maarufu anayemhusudu ila ndo hivyo huishia kumtafuna kimoyomoyo kutokana na kutokuwepo kwa nafasi ya kuweza kumpata. Ifuatayo ni orodha tukufu ya wanawake maarufu niliowahi kuwala kwa macho. Nitaanzia wale wakongwe hadi hawa wa sasa.
1. Miriam Odemba
Huyu manzi kwa mara ya kwanza nilimuona kwenye tangazo la lotion ambalo jina sikumbuki. Ilikuwa mwaka 1998. Hapo nilikuwa shule ya msingi. Nilipoingia sekondari nikawa simsikii tena.
2. Nora
Huyu mwigizaji nikiwa form one ndo alianza kuvuma akawa anaandikwa sana magazetini. Wakati nikiendelea kumtafuna kwa macho ikatangazwa kuwa kaolewa na mtu aitwaye Ngwizukulu Jilala. Mke wa mtu ni sumu.
3. Sinta
Huyu naye kavuma sana nyakati hizohizo kama za Nora. Msanii Juma Nature alituwakilisha vijana wote kwenye kulifaidi penzi la huyu mtoto mzuri.
4. Kemy
Huyu dada mwigizaji alikuwa anaonekana kama umri umesogea ila mimi haikujalisha. Nilimtaka na huo umri wake.
5. Irene Uwoya
Kwa kumbukumbu zangu mwaka 2004 hadi 2006 nilikuwa bize sana na msuli wa PCM hivyo nikajikuta mambo ya kipuuzi nimepunguza sana. Lakini 2006 kina Uwoya na wenzake walianza kuvuma. Nikajikuta nae nimemtamani ila mchezaji Ndikumana ndo akawa mshindi wa jumla baada ya kumuoa.
6. Wema
Huyu mwanzoni hakunivutia ila alivyoanza kufungasha ile tandam nikanasa.
7. Waziri Kariuki
Huyu mwanamama ni mzuri kinoma. Inagwa umri kanizidi ila anawafunika hadi watoto wa 2000.
Kweli mkuuNamba 7 usingeitaja Uzi ungekuwa batiri