Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,821
- 3,980
Wapi One Point?Kuna siku wakati kwa Mkwere kunaanza nilipofika pale nilipokelewa kama kiongozi pale nje, mhudumu akanipeleka hadi kwenye siti tupu pale ndani, akavuta kiti halafu akaniambia karibu.
Kwa aibu nikamwambia na wewe chukua kinywaji unachokunywa.
Leo umekuwa mwanaume?Tajeni chap chap tuone pa kwenda kuimalizia pasaka
Lini nlikua mwanamkeLeo umekuwa mwanaume?
Hata wewe unataka mademu wazuri? Humu mishoga ni mingi zaidi kuliko wanaume kamili.Karibuni wahusika wa viburidisho yaani burudani.
Pale Manzese DarajaniWapi One Point?
Nitakuwa nimekufananisha, kuna ID ya kike inafanana na yako ina nyuzi za kulilia kuolewa.Lini nlikua mwanamke
Sio mimiNitakuwa nimekufananisha, kuna ID ya kike inafanana na yako ina nyuzi za kulilia kuolewa.
Oha nipo maeneo yako...ukiondoa rainbow wapi naweza pata kengez nzuri nzuri kumalizia pasakaTajeni chap chap tuone pa kwenda kuimalizia pasaka
Mi hata huwa sipo huko, mji gani huo hata ukioga unapauka tu 😁Oha nipo maeneo yako...ukiondoa rainbow wapi naweza pata kengez nzuri nzuri kumalizia pasaka