Orodha ya bar zenye wahudumu wazuri nchini Tanzania

Orodha ya bar zenye wahudumu wazuri nchini Tanzania

Kuna siku wakati kwa Mkwere kunaanza nilipofika pale nilipokelewa kama kiongozi pale nje, mhudumu akanipeleka hadi kwenye siti tupu pale ndani, akavuta kiti halafu akaniambia karibu.
Kwa aibu nikamwambia na wewe chukua kinywaji unachokunywa.
Saivi sio pa maukali kama zamani
 
Juliana pale niliwai kumkula mtoto mmoja mtamu balaa sema nilipoteza namba yake
 
Wahudumu wazuri mnamaanisha wenye shepu,sura,wenye customer care nzuri nk au vyote kwa pamoja?
 
Utasubiriaa hadi saa 7 ukishangaa anakukimbiaa...wajinga sana hsooo
Au unakuta anakuambia ili utoke na mm lipa pale kaunta buku 20, hapo hajademand kununuliwa bia za kutosha na bado mkinyanduana umpe ela in exchange of gono na ukimwi. Upuuzi sana.
 
Back
Top Bottom