Orodha ya bar zenye wahudumu wazuri nchini Tanzania

Orodha ya bar zenye wahudumu wazuri nchini Tanzania

Hivi hao wahudumu wa baa sio makahaba na machangudoa kweli? Mbona ni wagawaji wa nyape vizuri tu, na ni kazi yao ya ziada kuwaingizia kipato. Kuna anayebisha?
 
Kwema wakuu. Huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya bar zenye wahudumu wazuri nchini Tanzania.

Weka la bar, mtaa ilipo, wilaya na mkoa.

Naanza Mimi : ONE POINT ipo Chanika wilaya ya Ilala jijini Dar Es Salaam.
Aiseeee!!
 
Sema wahudum wa bar wanahama hama sana. So ni vigum kusport bar yenye warembo.

Kuna bar moja musoma inaitwa Miami bar, bar nzima muhudum wa kueleweka ni mmoja tu. Nikamkula aiseee kanakata kiuno balaa, skuenjoy sjui kaliwahi kucheza show za miziki ya vijijin
 
images (100).jpeg

Tatizo hamsalimii watu ningewaonyesha hili chimbo!
 
Back
Top Bottom