Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
UkwasiSababu
Ipo, na wamachinga wanataka kufungua yaoHV ile bank ya walimu bado IPO??
Hiyo namba 1 na 3 kuna tofauti?1. Efatha
2.Covenant Bank,
3. Efatha Bank,
4. Njombe Community Bank,
5. Kagera Farmers’ Cooperative Bank, and
6. Meru Community Bank
7. Federal Bank of the Middle East
8. Tanzania Investment Bank (TIB)
9. China Commercial Bank Limited
Read more at: https://www.tanzaniainvest.com/finance/banking/bot-close-five-banks and follow us on www.twitter.com/tanzaniainvest
Moderator na Mhariri, huu Ni uzi unaojitegemea na ninaendelea kuuboresha, sidhani kama ni hekima kuuhamisha au kuunga na uzi mwingine wowote
Private wanalipa kodi, kama wanapiga hela, wa kuwajibishwa ni mkusanya mapato, TRA. Walipa kodi wakubwa na wa kati wana maelewano na wakusanya mapato.Bado shule za private zenye kuonekana zinapiga sana mahela..mjiandae.
Bwanayule mzalendo hataki 'ufisadi'..!
Are you sure na unachokiandika?Private wanalipa kodi, kama wanapiga hela, wa kuwajibishwa ni mkusanya mapato, TRA. Walipa kodi wakubwa na wa kati wana maelewano na wakusanya mapato.
Funguka mkuuBado shule za private zenye kuonekana zinapiga sana mahela..mjiandae.
Bwanayule mzalendo hataki 'ufisadi'..!
Soma haka ka report, katamu sanaDonors country, tunawekeza hela nchi za nche zaidi, ni mambo ya uchumi wa kati. Una swali lingine?
Kuuumbeehh1. Efatha
2.Covenant Bank,
3. Efatha Bank,
4. Njombe Community Bank,
5. Kagera Farmers’ Cooperative Bank, and
6. Meru Community Bank
7. Federal Bank of the Middle East
8. Tanzania Investment Bank (TIB)
9. China Commercial Bank Limited
10. Bank M
11. Twiga Bank
Swali:- kufungiwa kwa bank 11 ndani ya miaka mitano kunaashiria Nini?
- Je savings zimepungua?
- Je bank zimeshindwa kupata pesa kutoka kwenye vyanzo vingine ie mauzo ya hisa kwenye soko la mitaji ili kukuza mitaji yake
- Purchasing power imepungua?
Read more at: https://www.tanzaniainvest.com/finance/banking/bot-close-five-banks and follow us on www.twitter.com/tanzaniainvest
Moderator na Mhariri, huu Ni uzi unaojitegemea na ninaendelea kuuboresha, sidhani kama ni hekima kuuhamisha au kuunga na uzi mwingine wowote
Kila mwaka zinafilisika benki 2Kuuumbeehh