Heci
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 3,846
- 6,838
Donors country, tunawekeza hela nchi za nche zaidi, ni mambo ya uchumi wa kati. Una swali lingine?
Donors country, tunawekeza hela nchi za nche zaidi, ni mambo ya uchumi wa kati. Una swali lingine?
Ipo, saiv wanawasumbua wastaafu wanawaambia wajiunge wawalipe mafao ili wao waliopwe na hazinaHV ile bank ya walimu bado IPO??
Tatizo kubwa ni ukwasi ambao umeyumba kutokana na mikopo chefuchefu kuwa mingi ,mfano Twiga bank ilikuwa na matatizo tangu 2011 niliwahi kuona mahesabu yake ya robo mwaka assets na liability zilikuwa hazilinhani ,sema uongozi iliopita ilikuwa unavumilia sana ,pia kwenye hii list yako umeunganisha bank zilizofungwa na zilizoungana au zilizounganishwa,mfano benki za serikali ziliunganishwa ili zilete tija, benki zingine zilizoungana ni nic na cba, nadhani exim walichukua ubn,mwanga community ikachukua hakika na efc microfinance, uchochoro wa mabenki Tanzania ilikuwa unasababishwa na mazingira mazuri ya biashara yaliyokuwepo kipindi cha nyuma pamoja na unyonyaji wa mabenki ,kwani kipindi cha nyuma ilikuwa rahisi sana kwa benki mpya kuanza kutengeneza faida ndani ya miaka miwili tu ya kuanzishwa ,ila kwa Leo benki zinalia sembuse benki mpya? Labda iwe ya kisiasa na haitadumu pia1. Efatha
2.Covenant Bank,
3. Efatha Bank,
4. Njombe Community Bank,
5. Kagera Farmers’ Cooperative Bank, and
6. Meru Community Bank
7. Federal Bank of the Middle East
8. Tanzania Investment Bank (TIB)
9. China Commercial Bank Limited
10. Bank M
11. Twiga Bank
Swali:- kufungiwa kwa bank 11 ndani ya miaka mitano kunaashiria Nini?
- Je savings zimepungua?
- Je bank zimeshindwa kupata pesa kutoka kwenye vyanzo vingine ie mauzo ya hisa kwenye soko la mitaji ili kukuza mitaji yake
- Purchasing power imepungua?
Read more at: https://www.tanzaniainvest.com/finance/banking/bot-close-five-banks and follow us on www.twitter.com/tanzaniainvest
Moderator na Mhariri, huu Ni uzi unaojitegemea na ninaendelea kuuboresha, sidhani kama ni hekima kuuhamisha au kuunga na uzi mwingine wowote
Benki ya wanawake iliunganishwa na TPB siyo TIB, pia twiga na TIB ziliunhanishwa TPB ,ni kweli TPB inatatizo la ukwasi has a baada ya kurithi madeni na mitaji ya hizi benki zilizoinganishwa kwakwe,ndio maana now wanafanya promotion ya fixed deposits by 11% per year ,Ile Benki ya Wanawake ndio iliunganishwa na TIB? Alafu kama niliona mahali Twitter benki ya posta hivi sasa ni kama ina upungufu wa ukwasi
1. Efatha
2.Covenant Bank,
3. Efatha Bank,
4. Njombe Community Bank,
5. Kagera Farmers’ Cooperative Bank, and
6. Meru Community Bank
7. Federal Bank of the Middle East
8. Tanzania Investment Bank (TIB)
9. China Commercial Bank Limited
10. Bank M
11. Twiga Bank
Swali:- kufungiwa kwa bank 11 ndani ya miaka mitano kunaashiria Nini?
- Je savings zimepungua?
- Je bank zimeshindwa kupata pesa kutoka kwenye vyanzo vingine ie mauzo ya hisa kwenye soko la mitaji ili kukuza mitaji yake
- Purchasing power imepungua?
Read more at: https://www.tanzaniainvest.com/finance/banking/bot-close-five-banks and follow us on www.twitter.com/tanzaniainvest
Moderator na Mhariri, huu Ni uzi unaojitegemea na ninaendelea kuuboresha, sidhani kama ni hekima kuuhamisha au kuunga na uzi mwingine wowote
zimefungiwa ama zimefungwa?kufungiwa
Sijui hii miaka mitano hali ya uchumi itakuwaje?Tatizo kubwa ni ukwasi ambao umeyumba kutokana na mikopo chefuchefu kuwa mingi ,mfano Twiga bank ilikuwa na matatizo tangu 2011 niliwahi kuona mahesabu yake ya robo mwaka assets na liability zilikuwa hazilinhani ,sema uongozi iliopita ilikuwa unavumilia sana ,pia kwenye hii list yako umeunganisha bank zilizofungwa na zilizoungana au zilizounganishwa,mfano benki za serikali ziliunganishwa ili zilete tija, benki zingine zilizoungana ni nic na cba, nadhani exim walichukua ubn,mwanga community ikachukua hakika na efc microfinance, uchochoro wa mabenki Tanzania ilikuwa unasababishwa na mazingira mazuri ya biashara yaliyokuwepo kipindi cha nyuma pamoja na unyonyaji wa mabenki ,kwani kipindi cha nyuma ilikuwa rahisi sana kwa benki mpya kuanza kutengeneza faida ndani ya miaka miwili tu ya kuanzishwa ,ila kwa Leo benki zinalia sembuse benki mpya? Labda iwe ya kisiasa na haitadumu pia
Na yenyewe ipo njiani kuingia hapo ni suala la mudaHV ile bank ya walimu bado IPO??
Nguvu kubwa sasa iko kwenye kuboresha shule za serikali ili ziwe shule bora zaidi Tanzania.... sio kufungia shule binafsi🤣🤣🤣Bado shule za private zenye kuonekana zinapiga sana mahela..mjiandae.
Bwanayule mzalendo hataki 'ufisadi'..!
Mbona wale Bayport huwa wanawaliza sana walimu na kumbe wana benki yao?Ipo, na wamachinga wanataka kufungua yao
101. Efatha
2.Covenant Bank,
3. Efatha Bank,
4. Njombe Community Bank,
5. Kagera Farmers’ Cooperative Bank, and
6. Meru Community Bank
7. Federal Bank of the Middle East
8. Tanzania Investment Bank (TIB)
9. China Commercial Bank Limited
10. Bank M
11. Twiga Bank
Swali:- kufungiwa kwa bank 11 ndani ya miaka mitano kunaashiria Nini?
- Je savings zimepungua?
- Je bank zimeshindwa kupata pesa kutoka kwenye vyanzo vingine ie mauzo ya hisa kwenye soko la mitaji ili kukuza mitaji yake
- Purchasing power imepungua?
Read more at: https://www.tanzaniainvest.com/finance/banking/bot-close-five-banks and follow us on www.twitter.com/tanzaniainvest
Moderator na Mhariri, huu Ni uzi unaojitegemea na ninaendelea kuuboresha, sidhani kama ni hekima kuuhamisha au kuunga na uzi mwingine wowote
Anajaribu kuongeza idadiHiyo namba 1 na 3 kuna tofauti?