FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,336
- 13,660
Inflation haipimwi kwa kupanda bidhaa moja tu..Hivi benki zikifungwa Ni dalili ya uchumi kukua au kudorora?
Juzi Kati nilisikia mfumuko wa Bei Ni asilimia 3. Hapo hapo nikasikia sementi inauzwa Bei mbaya mpaka Mambo, mkuu wa mkoa na mkuu wa mashtaka wakaingilia Kati.
The state is now interfering with the forces of demand and supply.