mama D mbona unafuraha sana kwani zile euro za 'kovidi' zilihusika kwenye muamala ?Nguvu kubwa sasa iko kwenye kuboresha shule za serikali ili ziwe shule bora zaidi Tanzania.... sio kufungia shule binafsi🤣🤣🤣
Orodhesha na ambazo zimefunguliwa ili kuweka mizania sawa, kisha usisahau na zile mbili zilizofunga ndoa na sasa ni benki moja.
Mwenye nayo unamfahamu lkn?Unaijua hio familia mahusiano iliyonayo na mzee stone-cold?UNTOUCHABLESMbona wale Bayport huwa wanawaliza sana walimu na kumbe wana benki yao?
Labda kimajengo na si kitaaluma, mmeingiza siasa za hovyo kwenye elimu kuanzia msingi hadi vyuo.Ni Furaha ya maboresho ya Shule za umma tuu
Habari hizi sizipati kwenye kipindi pendwa Cha " kishindo Cha awamu ya tano"Kila mwaka zinafilisika benki 2
Mbinga community bank ,1. Efatha
2.Covenant Bank,
3. Efatha Bank,
4. Njombe Community Bank,
5. Kagera Farmers’ Cooperative Bank, and
6. Meru Community Bank
7. Federal Bank of the Middle East
8. Tanzania Investment Bank (TIB)
9. China Commercial Bank Limited
10. Bank M
11. Twiga Bank
Swali:- kufungiwa kwa bank 11 ndani ya miaka mitano kunaashiria Nini?
- Je savings zimepungua?
- Je bank zimeshindwa kupata pesa kutoka kwenye vyanzo vingine ie mauzo ya hisa kwenye soko la mitaji ili kukuza mitaji yake
- Purchasing power imepungua?
Read more at: https://www.tanzaniainvest.com/finance/banking/bot-close-five-banks and follow us on www.twitter.com/tanzaniainvest
Moderator na Mhariri, huu Ni uzi unaojitegemea na ninaendelea kuuboresha, sidhani kama ni hekima kuuhamisha au kuunga na uzi mwingine wowote
Uelewa wako mdogo kwenye maeneo ya Mabenki. Hizo Benki nyingi zilikuwa zina facilitate money laundering baada tu ya kudhibitiwa Money Laundering hapa nchini lazima Benki wababaishaji yafungwe!Hamjawekewa sanctions tayari benki 11 zimefungwa kwa miaka mitano, sawa na kila mwaka zinafungwa benki mbili. MAGUFULI umeua sekta ya biashara
benki ya Ushirika Kilimanjaro KILIMANJARO COMMUNITY BANK1. Efatha
2.Covenant Bank,
3. Efatha Bank,
4. Njombe Community Bank,
5. Kagera Farmers’ Cooperative Bank, and
6. Meru Community Bank
7. Federal Bank of the Middle East
8. Tanzania Investment Bank (TIB)
9. China Commercial Bank Limited
10. Bank M
11. Twiga Bank
Swali:- kufungiwa kwa bank 11 ndani ya miaka mitano kunaashiria Nini?
- Je savings zimepungua?
- Je bank zimeshindwa kupata pesa kutoka kwenye vyanzo vingine ie mauzo ya hisa kwenye soko la mitaji ili kukuza mitaji yake
- Purchasing power imepungua?
Read more at: https://www.tanzaniainvest.com/finance/banking/bot-close-five-banks and follow us on www.twitter.com/tanzaniainvest
Moderator na Mhariri, huu Ni uzi unaojitegemea na ninaendelea kuuboresha, sidhani kama ni hekima kuuhamisha au kuunga na uzi mwingine wowote
Labda kimajengo na si kitaaluma, mmeingiza siasa za hovyo kwenye elimu kuanzia msingi hadi vyuo.
Ofcourse nimeona moja kati ya mitihani yao ya maswali ya form two.
Halafu eti gvmnt schools ndio zinaongoza..! 😁
Hii presha ilivyo hakuna miujiza. Hata Bashir kakimbia SA maana Covid imeharibu mifumo. Njaa inatawalaEfatha ziko bank mbili??
Mwingira miujiza imeisha???
Mabaya yapi hayo? na yatanipata vipi wakati hujui niko wapi.. anyway we're waiting for AVG.!!Kabla ya kuongelea mtihani wa form two uliouona tafuta mtaala na syllabus kisha urudi kwenye huo mtihani
Halafu wewe ulitaka shule gani ziongoze? Utabaki hukohuko na mabaya unayotamani yatakupata mwenyewe🤣🤣🤣
Popote ulipo yatakupata tuu... maana yasipokukuta wewe yatawakuta watu wako wa karibuMabaya yapi hayo? na yatanipata vipi wakati hujui niko wapi.. anyway we're waiting for AVG.!!
Ishu ya Bushiri imekaa vibaya sanaHii presha ilivyo hakuna miujiza. Hata Bashir kakimbia SA maana Covid imeharibu mifumo. Njaa inatawala
Ni bank moja tu FBME ilifungwa kwa sababu ya kupitisha hela za kusaidia makundi ya ugaidi, wengine woooote wamefilisika.Uelewa wako mdogo kwenye maeneo ya Mabenki. Hizo Benki nyingi zilikuwa zina facilitate money laundering baada tu ya kudhibitiwa Money Laundering hapa nchini lazima Benki wababaishaji yafungwe!