Orodha ya benki za biashara zilizofungwa 2015-2020

Inflation haipimwi kwa kupanda bidhaa moja tu..
 
Ni bank moja tu FBME ilifungwa kwa sababu ya kupitisha hela za kusaidia makundi ya ugaidi, wengine woooote wamefilisika.
Hapo ongeza na benki ya wanawake
Hujanielewa sijasema zimefungwa kwa sababu ya kushiriki zenyewe kwenye money laundering. Nina maana baada ya money launders kubanwa then Benki ambazo hazikuwa makini na mfumo wa kuthibiti Money Laundering lazima impact yake iwazoe na wao.
 
Nani anasimisimika mfumo wa mabenki kuzuia utakatishaji fedha?
 
Hilo jina limekaaje?
 
Hujanielewa sijasema zimefungwa kwa sababu ya kushiriki zenyewe kwenye money laundering. Nina maana baada ya money launders kubanwa then Benki ambazo hazikuwa makini na mfumo wa kuthibiti Money Laundering lazima impact yake iwazoe na wao.
Okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…