radicals
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 4,411
- 6,473
Demiss mbona kama una ndevu??Mpaka nimemaliza kusoma kuanzia mwanzo mpaka mwisho
Nahisi kichwa kinavibrate kwa kweli
Ndo maana huwa nasema
Usimuhukumu mtu pasipo kujua undani wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Demiss mbona kama una ndevu??Mpaka nimemaliza kusoma kuanzia mwanzo mpaka mwisho
Nahisi kichwa kinavibrate kwa kweli
Ndo maana huwa nasema
Usimuhukumu mtu pasipo kujua undani wake
Yani cha mdeko una "mustach"Mpaka nimemaliza kusoma kuanzia mwanzo mpaka mwisho
Nahisi kichwa kinavibrate kwa kweli
Ndo maana huwa nasema
Usimuhukumu mtu pasipo kujua undani wake
Yawezekana nikawa punga sio bure kuwa na ndevuDemiss mbona kama una ndevu??
Kama ulikuwepo maan nilivyofika katikat nikaweka mapumziko kidogo na hii imetokana na tabia yangu kila nikiingia hapa lazima nitafute umeandika nn ?Hahaha pole sana binti ninajua umepata wakati 'mgumu' kuweza 'kuulazimisha' ubongo wako kuingiza kitu ambacho 'haujazoea' na hii ndio sababu 'kuu' kwanini 'chips hailiwi kwa kijiko'

jifunze kiswahiliHahaha RRONDO najua tuliwah kuwa na encounters sehem kadhaa na hasa nakumbuka uzi wako wa 'kweli ukikua utaacha' .
Na ninafahamu ulitaka kulipiza lakini nikusifu kwa kuwa 'open minded' na pengine imekusaidia kuona 'positivity' kwenye content hii
Infact ninajua kuna 'empty set' nyingi zinakuja kwa kasi kusoma ili kupata kasoro lakini wanaishia kupita kimyakimya baada ya uzi kuwazidi akili.
Mage alishaolewa?Pombe bana ukifiwa unakunywa ukifumaniwa unakunywa
Ukifukuzwa kazi unakunywa
Ukipata kazi unakunywa
Na ukifa wenzako bado wanakunywa.........I love this buzness
Huyo kwenye avatar ni ww?The List kumbe una mawazo mazuri hivi basi tu unajitoaga ufahamu kwenye thread za watu. Biashara zote ulizozisema ni sawa kabisa.
Hapana mkuuHuyo kwenye avatar ni ww?
Umeitoa wap mkuu maana!Hapana mkuu
Niliikuta kwenye group la whatsapp nikaipendaUmeitoa wap mkuu maana!
Nilijua ni ww etNiliikuta kwenye group la whatsapp nikaipenda
Huyu atakuwa mtu,mtu kweliNilijua ni ww et
Hapana kabisa mkuuNilijua ni ww et
Forex vipi? haifai?