Kuna Mchina gani miaka ile angeacha kuvaa zile suti za Mao akaja kuvaa aya masuti ya Wazungu. Cloth making nchini humo ililindwa na ndio industry ya kwanza kupewa initiation na serikali.
Wachina walikuwa na boycott ya bidhaa za Mjapani miaka nenda rudi.
Twende Marekani hapo miaka ya hivi karibuni kuna vizingiti kwa samaki kambale watokao nje hasa Vietnam ambao wana bei ndogo sana kuliko wanaozalishwa Marekani. Hilo battle ni la miaka.
Nenda na maziwa yako pale Western Europe uone utamuuzia nani wakati giants kama Nestle wanauza. Uza matunda yanayopatikana Ulaya kwa kujitosheleza uone kama utakubaliwa. Uza nyanya uone kama Israel hajaja kutetea soko lake. Hapo utaambiwa na mamlaka za chakula hazijaridhika na ubora. Achana na matunda waliyo nayo, wapelekee maparachichi ambayo hawalimi. Hakuna atakayelilia ubora. Yani uuze zabibu Italy wakati wana mashamba?
Hiyo mikataba ya biashara kina NAFTA inakuwa ya nini, kama protectionalism hamna nani angesaini mkataba. Kwenye mkataba lengo kuu wanasema "to remove trade barriers". Which barriers kama ni free trade?