Orodha ya Kampuni Bora za Ujenzi nchini zinazomilikiwa na Watanzania

Hebu tuzitaje Kampuni kubwa za ujenzi Tanzania ambazo ni za Watanzania, zile ambazo tunaona zina uwezo sawa na za nje.

Tuweke list hapa please.
Kama kazi mnawapa Wachina hizo kampuni Bora zitatoka wapi?
 
Lengo tuzijue...zitakuwepo tu
 
Tukitaka kitu the best tutatumia the best kwenye hio nyanja husika vidogo, vidogo tutafanya kwa kushirikiana na hao the best hususan kwa suala la ujenzi; Ndio maana hata wewe ukijenga nyumba huchukui familia yako utachukua mjenzi bora kuliko wote kulingana na uwezo wako...

Lakini sidhani baada ya ujenzi utawaambia hao watu wakuendeshee familia yako; either utawapangisha kwa muda mfupi mfupi wakupe pesa au kuajili mtu asimamie jengo lako kukusanya kodi (kama ukusanyaji huo ni gharama kuliko ungekusanya mwenyewe)

Kuhusu kampuni bora ili ziwe bora inabidi zianze kujiuza nje ya nchi na sio ndani tu (what's good for the goose is good for the gander) Pili kampuni hizi inabidi ziwe bunifu mfano kutengeneza msonge au nyumba za nyasi na tope (our Technic) ziweze kuzi-export nje
 
Natamani Tu kwanza kuzijua...
Kama njia ya kuzitangaza bila kumjali size ya uwezo wao...
 
Ujenzi wa nini ? Na hapo lazima Useme

Maghorofa, Nyumba za Kawaida, Mabarabara; Vinu vya Nuclear; n.k. Sababu mtu anaweza akawa makini sana kujenga Barabara za Mtaani ila ukimpa Daraja miaka mitano ijayo ukatuma rambirambi

Ingawa kwenye suala la Boti ndogo ndogo nadhani Songoro Marine - Ame-prove uwezo wake..... (Au meli sio Ujenzi ) ?
 
Back
Top Bottom