Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
Mhandisi Construction and Engeneering.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majengo Kwa kuanzia..Ujenzi wa nini ? Na hapo lazima Useme
Maghorofa, Nyumba za Kawaida, Mabarabara; Vinu vya Nuclear; n.k. Sababu mtu anaweza akawa makini sana kujenga Barabara za Mtaani ila ukimpa Daraja miaka mitano ijayo ukatuma rambirambi
Ingawa kwenye suala la Boti ndogo ndogo nadhani Songoro Marine - Ame-prove uwezo wake..... (Au meli sio Ujenzi ) ?
Capacity Pia matters Kampuni zinaweza kuwa bora kwa kujenga madarasa na maabara za shule; ila skyscrapers ? Ndio hapo bila kujaribiwa na kuwa tested naweza kusema nyingi tu ni bora ila capacity yake its another thing...Majengo Kwa kuanzia..
Na barabara inafuatia
Mkuu umechanganya lugha ngumu sana hadi itamuia vigumu muhadzabe chuma cha mjerumani kukuelewa.Capacity Pia matters Kampuni zinaweza kuwa bora kwa kujenga madarasa na maabara za shule; ila skyscrapers ? Ndio hapo bila kujaribiwa na kuwa tested naweza kusema nyingi tu ni bora ila capacity yake its another thing...
Mbili unaweza wewe ukawa mjenzi mzuri sana wa barabara ile pesa unayopewa na mirija ya walamba asali kwenye ratio wakataka wale au Kwenye kulipwa leo ukalipwa Kesho au usilipwe....
Kwahio nadhani issue sio Umiliki per se; sababu hata hizo The Biggest in the World zinazokuja huku na kule utagundua kwamba zina mkono wa State (Serikali yao); Its a Corporations and Shareholders world now..., mambo ya Kampuni ya Bibi na Babu its long gone... unless ni conglomerate kama kina Dangote....
Estim ndio waliojenga hii barabara mpya ya Kimara–KibahaEstim constrctn patel wa msoga mjini chalinze
Nyanza Construction Company na Masasi Construction CompanyHebu tuzitaje Kampuni kubwa za ujenzi Tanzania ambazo ni za Watanzania, zile ambazo tunaona zina uwezo sawa na za nje.
Tuweke list hapa please.
Siwezi pinga wala kukubali, wakandarasi wengi wa bongo mambo yao ukiyaangalia na ukiambiwa huyu ni class 1 utatamani kulia.Nyanza Construction Company na Masasi Construction Company
Japo sio kampuni inayo milikiwa na wabongo 100% ila kwa Estim ntakuunga mkono, wale jamaa wanaendesha operations zao mpaka nje ya nchi.Estim ndio waliojenga hii barabara mpya ya Kimara–Kibaha
Watamu sana kwenye civil engineering
Wamekaa kimchongo mchongo 😄Siwezi pinga wala kukubali, wakandarasi wengi wa bongo mambo yao ukiyaangalia na ukiambiwa huyu ni class 1 utatamani kulia.
Hata hawa ma-gabachori unajivunia kuwa ni watanzania!?Estim constrctn patel wa msoga mjini chalinze
Spek....Deo Marandu,Ridhwani Mringo na Raymond Tarimo
Emirate Construction...DeoMarandu
Kings Builders....Raymond Tarimo
Kachu Ujenzi....
Estim...mzee Gire