franksarry
JF-Expert Member
- Nov 9, 2009
- 1,284
- 481
Habari Zenu Watanzania, Mimi Nina Sababu Kusema Huyu Jamaa Hafai Na Kifuatia Yafuatayo
1. Nasikia Tuhuma Na Kashfa Alipokuwa Mkurugenz AICC
2. Tuhuma akiwa wizara ya ardh kuhusu ranchi
3. Tuhuma akiwa waziri wa maji
4. Tuhuma jimbon kwake za mabilion ujenz wa visima,
5. tuhuma kutaka kutupga kupitia maigizo ya mvua ya kutengeneza ya thailand kuileta tz japo dili lilibuma,
6. tuhuma za kutoa rushwa kwa maaskofu
7, Tuhuma za kuwatumia walala hoi kupata madaraka kuwadanganya kuwalipa mabodaboda na kuwadhulum
8. tuhuma kuhusu mtoto wake kununua nyumba ya gharama ya mabilion uingereza kwa ela za Uoza,na uingereza Ikalaum
9. kujiusisha na wafanyabiashara wakubwa madalali waliotutia hasara
10. scotland kumtuhum kuhamisha mabilion kwenda uko kwa Siri
11. kuingizia taifa hasara kupitia richmond hawez kukwepa hapa
12. kutugawa kwa udin makanisan
13.tuhuma kutoudhulia msiba wa nyerere kwa ajenda binafsi
15. kulidanganya bunge na watanzania juu ya richmond,
SAIDIA KUORODHESHA NYINGINE UKO CHIN, NAJUA MTATAKA KUTAJA
Kazi ipo....
Kazi za PCCB mnaziingilia, kisa mmebanwa mbele ya wananchi ktk uwanja wa Campaign?
Angalizo, msije kuingilia kazi za Office zingine nyeti..!!!
Mwisho wa haya maigizo ni 25th Oct. Baada ya hapo mtakuja hapa kutoa pongezi zenu kwake kw kuchaguliwa kw kishindo... Haya yote mtasahau.
Wananchi ktk viwanja vya campaign wanataka majibu kwann miaka yote hii zaidi ya 50 bado ni maskini, afya duni, elimu poa, na kuitwa wapumbavu na malofa etc etc.
Tuisadie Tanzania kw kuacha propaganda za chuki binafsi dhidi ya mgombea wa UKAWA na CDM - Hon Edward Lowassa.
Nchi ni ya wananchi, wao ndy waamuzi wa mwisho khs kipenzi chao Hon Edward Lowassa.
Kuweni wavumilivu na msubiri nn wananchi wataamua hapo 25th Oct.
Kila mwanadamu amepewa bahati na mwenyenz Mungu.
Naipenda Tanzania na watu wake.Nachukia siasa majitaka, wivu na chuki.