Elections 2015 Orodha Ya Kashfa Za Mgombea Huyu Ni Hatari Sana Hafai, Ona Nawe Ongezea Nyingine

Elections 2015 Orodha Ya Kashfa Za Mgombea Huyu Ni Hatari Sana Hafai, Ona Nawe Ongezea Nyingine

Mkuu nimeipenda kazi unayoifanya ya kuwaelimisha watanzania kuhusiana na hili njizi kubwa katika taifa letu

Si mngelifungaga hilo jizi baada ya kuuachia uwaziri mkuu? Mliogopa kitu gani? Au ndio ile kwamba ukiwa ndani ya CCM unaruhusiwa kuwa fisadi?
 
Magufuli mwizi kuliko Lowassa,

Magufuli hafai na chama chake hakifai!!!
Magufuli kauza nyumba za serikali kwa bei ya dagaa nchi nzima,nyumba za osterbay na Msasani tu ni zaidi ya trillion 1,je kwa Tanzania nzima ni kiasi gani??!!! Ushahidi upo na inajulikana,usafi anapata wapi??!

Magufuli ni fisadi kuliko Lowassa,Magufuli Hafai na CCM yake!

Magufuli kwa mwaka jana tu ofisi yake imefisadi zaidi ya 70 billion na ushahidi upo-report ya CARG-2014/2015 Usafi anaupata wapi??!!

Magufuli hafai,ni fisadi kushinda Lowassa,report ya CARG na bunge lilithibitisha Magufuli alidanganya umma na bunge kwa ufisadi wa zaidi ya 250 billion kuwa malipo hewa kwenye report ya CARG 2011-214,USAFI anapata wapi??!!

Lowassa ana tuhuma tu na hakuna alilothibitishwa nalo na Mengine amewataja wahusika kama suala la Richmond na wamekaa kimya,Tuhuma dhidi ya wapinzani wake kisa ni tishio??!!

Maskini Tanzania yangu nakuhurumia sana. Kama watanzania wanaotajwa na wewe umo basi tuna kazi. Na hapa ndiyo nagundua kuwa tatizo halikuwa CCM bali watu kama wewe. Nyumba za serikali magufuli alipanga bei? Kama nani? Nyumba za serikali magufuli aliuza kama nani? Jitahidini hata muwe mnafuatilia mambo kabla ya kuandika humu. Sumaye keshatolea majibu kuwa yeye kama kiongozi wa serikali alihusika na kwamba tume zaidi ya tatu zilishughulikia swala hili. Valuers ndiyo wanapanga bei kutikana na value ya kitu na si magufuli. Kua akili usikue mwili tuu
 
Napenda kutangaza rasmi kwa niaba ya watanzania wote nimemsamehe LOWASSA na nampa kura yangu
 
Wewe mleta mada tupe na zamakufuli kwanza acha kutoka povu ukawa na lowasa ni saratani ya moyo kwenu ccm
 
Uuzwaji wa nyumba za watumishi
Mabehewa feki
Escrow
Meremeta
Hasara ya meli ya samaki

Ongezea zingine na wewe.
 
Uuzwaji wa nyumba za watumishi
Mabehewa feki
Escrow
Meremeta
Hasara ya meli ya samaki
Makufuli alifanya maamuzi ya pupa yalisababisha mgomo wa wasafirishaji nchi nzima akasababisha uchumi kusimama taifa likapata hasara na nchi za jirani zikaamua kutumia bandari ya Mombasa badala ya Dar es salaam. Kwa aibu hii serikali ilisalimu amri.
 
Kashfa Za Magufuli Ni Za Kutafta Tafta Nazo Ni Vgum Kuztafta, Lakin Za Huyu Jamaa Ni Hatari Ziko Straight Forward
 
"CCM mkitaka #KURA yangu semeni ukweli nani anahusika na hizi tuhuma? na wahusika wamechukuliwa hatua gani?
-Katiba pendekezwa nani aliyaondoa maoni ya wananchi ambayo yalikuwepo kwenye rasimu ya Warioba?
-Mabehewa feki
-Kiwira
-Richmond
-Epa
-Escrow
-Epa
-Dowans
-IPTL
-NET GROUP SOLUTIONS
-Usafirishaji wa wanyama nje ya nchi mfano twiga alipandaje ndege?
-Biashara ya pembe za ndovu
-Biashara ya madawa ya kulevya
-Meremeta
-Mikataba ya gesi na mafuta
-Uuzwaji wa nyumba za serikali
Nahitaji majibu ya hayo maswali siyo porojo tuuuuu.
 
Magufuli mwizi kuliko Lowassa,

Magufuli hafai na chama chake hakifai!!!
Magufuli kauza nyumba za serikali kwa bei ya dagaa nchi nzima,nyumba za osterbay na Msasani tu ni zaidi ya trillion 1,je kwa Tanzania nzima ni kiasi gani??!!! Ushahidi upo na inajulikana,usafi anapata wapi??!

Magufuli ni fisadi kuliko Lowassa,Magufuli Hafai na CCM yake!

Magufuli kwa mwaka jana tu ofisi yake imefisadi zaidi ya 70 billion na ushahidi upo-report ya CARG-2014/2015 Usafi anaupata wapi??!!

Magufuli hafai,ni fisadi kushinda Lowassa,report ya CARG na bunge lilithibitisha Magufuli alidanganya umma na bunge kwa ufisadi wa zaidi ya 250 billion kuwa malipo hewa kwenye report ya CARG 2011-214,USAFI anapata wapi??!!

Lowassa ana tuhuma tu na hakuna alilothibitishwa nalo na Mengine amewataja wahusika kama suala la Richmond na wamekaa kimya,Tuhuma dhidi ya wapinzani wake kisa ni tishio??!!

unaombewa na gwajima wewe
 
Wana Ukawa Mkaombewe Na Gwajima, Ila Wake Zenu Weka Mbali Sana
 
Akiwa waziri wa ardhi ndiye aliyenusru mnazimmoja isichukuliwe na shemeji na hakuna ranchi iliyochukuliwa akiwa ardhi,nisaidie mmiliki wa iliyokuwa dakawa ranch na mtibwa estate tafadhari
 
inaniuma tuhuma zote izo bado liko nje wa tz awana uwezo wa kuliukumu lakini wanaweza kuwaondoa wanao linda majizi oct25
 
Habari Zenu Watanzania, Mimi Nina Sababu Kusema Huyu Jamaa Hafai Na Kifuatia Yafuatayo
1. Nasikia Tuhuma Na Kashfa Alipokuwa Mkurugenz AICC
2. Tuhuma akiwa wizara ya ardh kuhusu ranchi
3. Tuhuma akiwa waziri wa maji
4. Tuhuma jimbon kwake za mabilion ujenz wa visima,
5. tuhuma kutaka kutupga kupitia maigizo ya mvua ya kutengeneza ya thailand kuileta tz japo dili lilibuma,
6. tuhuma za kutoa rushwa kwa maaskofu
7, Tuhuma za kuwatumia walala hoi kupata madaraka kuwadanganya kuwalipa mabodaboda na kuwadhulum
8. tuhuma kuhusu mtoto wake kununua nyumba ya gharama ya mabilion uingereza kwa ela za Uoza,na uingereza Ikalaum
9. kujiusisha na wafanyabiashara wakubwa madalali waliotutia hasara
10. scotland kumtuhum kuhamisha mabilion kwenda uko kwa Siri
11. kuingizia taifa hasara kupitia richmond hawez kukwepa hapa
12. kutugawa kwa udin makanisan
13.tuhuma kutoudhulia msiba wa nyerere kwa ajenda binafsi
15. kulidanganya bunge na watanzania juu ya richmond,
SAIDIA KUORODHESHA NYINGINE UKO CHIN, NAJUA MTATAKA KUTAJA

Umesahau tuhuma moja muhimu sana kuwa LOWASSA ATASHINDA NA KUWA RAIS WA TZ pia tuhuma nyingine kuwa LOWASSA anaitumua NEC kuihujum CCM..

Mmmmh!. huyu mzee ana tuhuma nyingi kweli.
 
Mleta maada naomba nikuulize swali, baba yako mzazi alienda kwenye msiba wa Nyerere? na kama alienda ni nini kiliongezeka msibani? au alienda tu kula pilau.

Kwenda msibani si lazima hata wewe hujaenda katika misiba yote inayotokea
 
Back
Top Bottom