Elections 2015 Orodha Ya Kashfa Za Mgombea Huyu Ni Hatari Sana Hafai, Ona Nawe Ongezea Nyingine


Kazi ipo....
Kazi za PCCB mnaziingilia, kisa mmebanwa mbele ya wananchi ktk uwanja wa Campaign?
Angalizo, msije kuingilia kazi za Office zingine nyeti..!!!

Mwisho wa haya maigizo ni 25th Oct. Baada ya hapo mtakuja hapa kutoa pongezi zenu kwake kw kuchaguliwa kw kishindo... Haya yote mtasahau.
Wananchi ktk viwanja vya campaign wanataka majibu kwann miaka yote hii zaidi ya 50 bado ni maskini, afya duni, elimu poa, na kuitwa wapumbavu na malofa etc etc.
Tuisadie Tanzania kw kuacha propaganda za chuki binafsi dhidi ya mgombea wa UKAWA na CDM - Hon Edward Lowassa.

Nchi ni ya wananchi, wao ndy waamuzi wa mwisho khs kipenzi chao Hon Edward Lowassa.
Kuweni wavumilivu na msubiri nn wananchi wataamua hapo 25th Oct.
Kila mwanadamu amepewa bahati na mwenyenz Mungu.

Naipenda Tanzania na watu wake.Nachukia siasa majitaka, wivu na chuki.
 
Ana Bundi wa Tuhuma...
Ana Nyota ya Kutotiwa Hatiani..
 
Huyu huyu amesema atatuletea katiba mpya ambayo baadae tutaweza kumshtaki. TUMWACHE aende Ikulu.
 

mwizi mkabidhi ufunguo wa nyumba yako uone kama ataiba?? watz tumeamua mwaka huu kumpa ufunguo wa tz huyu huyu mwiziii
 

Itabid tuseme msemo mmoja wa marekani **whether he will bring development or not we will choose obama to show the world that America is for everyone.,na sis tunasema,whether he will bring development or not we will choose LOWASSA from UKAWA to show the world that Tanzania is for every one, not 4 ccm only.
 

Hoja yko peleka lumumba
 
Unapotoa tuhuma unatakiwa kuweka na ushahidi cyo unaropoka tu. Haya yote uliyoyasema yatolee ushahidi then tutakuamini, LA cvyo utakuwa unaleta mchezo wa siasa chafu..gamba
 

Mkuu umetumia vema neno "TUHUMA".

Kwa kanzia Unajua maana ya TUHUMA?
 
ndo maana tunamtaka achaguliwe. hatukuwa na serikali ya kuchukua hatua....
 
Basi andika na mazuri yake aliyofanya kwanini? Uandike mabaya tu! Hata hivyo hauturudishi nyuma kwa hii hadithi yako Lowasa kajiandaa Miaka 10 kuiongoza nchi Magufuli kashtukizwa ataiongoza je? Nchi Tafakari.
 
kwa tuhuma na kashfa hizo hafai hata kuongoza mtaa, arudi monduli akaendeleze upigaji deal na ulaghai, wa tanzania hatudanganyiki na fisadi lowasa
 
kwa tuhuma na kashfa hizo hafai hata kuongoza mtaa, arudi monduli akaendeleze upigaji deal na ulaghai, wa tanzania hatudanganyiki na fisadi lowasa

Ufisadi si yeye ni chama chake fungua ubongo wako wewe. Mfumo wake ndo umefanya madudu hayo. Ikuluu anaingii tuu
 
Kumbe ni tuhuma..kura yangu anayo lowasaaa.....kama mtu alipopewa uwaziri kamuuzia kimada nyumba akipewa inchi si ndo mpaka dada zetu wa ohio tutawakuta ikulu wakinywa juice.....
 
asijifiche kwa visingizio ni yy binafsi na ndio maana wenye kuujua ukweli kina Dr Slaa, Mwakyembe, Sitta nk wamejitokeza kuusema mbona umeadhirika na propaganda za fisadi EL na huuoni ukweli ulio wazi. Japo ww ni lo*fa ila jaribu kuwa na akili hata ya kufikiria kidogo

Ufisadi si yeye ni chama chake fungua ubongo wako wewe. Mfumo wake ndo umefanya madudu hayo. Ikuluu anaingii tuu
 
Chema chajiuza kibaya chajitangaza.
Magufuli hana sifa ya kuwa Rais wa Tanzania hata aongeshwe na kupakwa manukato ya kila namna.
Moja ya jambo ambalo halisemwi na ccm na hawana ubavu wa kulisema ni busara na hekima za Magufuli katuka kufanya maamuzi kama Rais.

Bila kuyumba kati ya wagombea wote mtu mwenye hekima na busara ya kusimamia maslahi ya Taifa kwa sasa ni Lowassa tu.

Tuachane na propaganda nyepesi za Wapinzani wake huku wakijua ukweli juu ya namna Lowassa alivyo na hekima nyingi
 

sjui mnatumia masabur kuwaza????

haya kale buku 7chap ulete post nyngne tena chap ila mmechelewa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…