Elections 2015 Orodha Ya Kashfa Za Mgombea Huyu Ni Hatari Sana Hafai, Ona Nawe Ongezea Nyingine


mtafukua hadi matakoni mwenu kipindi hiki,watanzania hatudanganyiki mwaka huuu. Ni lowasa tu.....
 
nyingine kuuza nyumba za watumishi wa umma kujenga barabara zetu chini ya kiwango kuacha deni kubwa wizara ya ujenzi jibu moja tu magufuli hafai kuwa rais
 

Umekula ??
 
KUNA sIKU ATAKUJA MUMTHIBITISHIE HAYO MYASEMAYO SIJUI MTAKIMBILIA WAPI?
 
Jamaa shujaa kama anafanya haya yote na serekali ya CCM inamwangalia hata bila actn yoyote.
 
Kumtuhumu mtu bila kumfungulia mashtaka ni kupoteza muda tu. Alikuwa AICC miaka ya 1980 mpaka leo mmeshindwa nini kumfungulia mashtaka?
 
Hizo sii sawa na kuchukua nyumba ya serikali kumhonga hawara, jana Slaa star tv Kasema Maghufuli sii msafi alihonga nyumba ya serikali.Jee akiingia ikulu si atahonga kila kitu????
 
Bado moja...Tuhuma kutokuhudhuria mazishu ya Peter Abdallah Kisumo
 
HUNA AKILI...vitu personal unawezaje kuvi generalize hivyo...mfano ...alitugawa makanisani...?Unawezaje kusema hivyo...mbona sisi kanisani kwetu hatujagawnyika? tuko mia na wote kila siku tunapiga goti lowasa awe Raisi...hivi unajua maana ya britannica...hufanani na hilo jina ulilolichagua...eti saidi kuboresha...why hujalist kashfa za raisi wako...au ROHO MBAYA TUU!nakuchukia
 
Lowassa ndo ufunguo unaofaa kufungulia kufuli liitwalo TANZANIA.
 
Mlikuwa wapi msimchukulie hatua amka kushakucha usitafute shuka wala blanketi
 
Unasikia? acha umbea mtoto wa kike. Kama hutaki mabadiliko kaa utulie.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…