Elections 2015 Orodha Ya Kashfa Za Mgombea Huyu Ni Hatari Sana Hafai, Ona Nawe Ongezea Nyingine

Mimi nadhani bangi ziruhusiwe ila ziwe zinauzwa ghali ili wawe wanatumia wachache maana naona pamoja na kukataza mtoa post anatumia
 
Yule jamaa nmetokea kumpenda kupitia tuhuma mnazombebesha, yaani zamani nlkuwa ctaki hata kuckia jina lake. Kikubwa kilichonifanya nimpende ni kwamba HAPENDI KUJIBU mnachomtuhumu, ila anasema mumpeleke mahakamani basi. Yeye yupo bize na shughuri zake, nimejifunza vitu vingi sana toka kwake mpaka natamani awe role model wangu. Km kweli alifanya hayo yote basi Mungu mwenyewe ashughulike naye maana chini ya jua hakuna anayeweza kumuadhibu zaidi ya wapiga kelele tu. Hivi hamuoni aibu? maana yule jamaa hana time na wanaomtuhumu kwa ubaya, bali yupo bize na wale wanaomwamini huko mtaani
 
Mimi binafsi nilikua nataka mwenye sifa hizo hivyo umenikuna sana na sasa natangaza rasmi kwamba kura yangu ni kwa lowasa tu.
 

Asante ulofa katika ubora wetu! Hapa ni ukawa tuu
 

Mkuu nimeipenda kazi unayoifanya ya kuwaelimisha watanzania kuhusiana na hili njizi kubwa katika taifa letu
 

Hivi hakuna mpya
 
Haya shika buku saba, kwa kaz uliotumwa na serikali yako dhaifu isiyo weza kushika hata wezi, na tena uache uzushi, utakutokea puani mwanakijiji wewe
 

16. Ni wapi amepata utajiri wakati yeye ni mtumishi wa serikali?
17. Ni wapi amepata utajiri wakati yeye ni mtumishi wa serikali?
18. Ni wapi amepata utajiri wakati yeye ni mtumishi wa serikali?
19. Ni wapi amepata utajiri wakati yeye ni mtumishi wa serikali?
20. Ni wapi amepata utajiri wakati yeye ni mtumishi wa serikali?
 
kama zahanati zimejazwa dawa, wanafunzi wote wanakaa kwenye madawati,hela za escrow zimerudishwa,Kiwira imepatiwa ufumbuzi,Walimu wamelipwa madai yao,rudi hapa kwa Mara nyingine ili tuiunge mkono ccm.Vinginevyo hesabu kwamba Lowasa Ni Rais wako 2015.Propaganda zako zimekosa mashiko.
 
nami nina za magufuli kwamba aliuza nyumba za serikali, bwana huyu haijui ccm kwa kuwa hajawah kuwa baloz wa nyumba kumi, alipokuwa wa ardhi vimada wake walikuwa wanapewa nyumba za umma bure, na sasa wazir wa ujenzi kajenga barabara chin ya kiwango na huko kwake kawadhulumu watu wanasema ashukuru ccm kumpitisha kuwa mgombea wa urais asingepata kuwa mbunge. ONGEZA YA KWAKO UNAYOJUA
 
Hivi yule aliyeambiwa ndo aliruhusu mkataba wa Richmond uendelee, mbn yupo kimya...

Au ni kwel ni yeye, Maana nasikiaga watu wansema 'Silence means Yes'
 

jipange upya
 
Ukweli unauma mtakaa tu na ushabiki eti mabadiriko toka kwa huyo mmmh mtamezwa kwa ushabiki
 
Hao Wasafi wamefanya nini kwa miaka 38? Tutampa huyo fisadi safari hii, huenda nchi ikitawaliwa na fisadi itasonga mbele kuliko hawa wanaojifanya malaika watu...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…