Elections 2015 Orodha Ya Kashfa Za Mgombea Huyu Ni Hatari Sana Hafai, Ona Nawe Ongezea Nyingine

Mkuu nimeipenda kazi unayoifanya ya kuwaelimisha watanzania kuhusiana na hili njizi kubwa katika taifa letu

Si mngelifungaga hilo jizi baada ya kuuachia uwaziri mkuu? Mliogopa kitu gani? Au ndio ile kwamba ukiwa ndani ya CCM unaruhusiwa kuwa fisadi?
 

Maskini Tanzania yangu nakuhurumia sana. Kama watanzania wanaotajwa na wewe umo basi tuna kazi. Na hapa ndiyo nagundua kuwa tatizo halikuwa CCM bali watu kama wewe. Nyumba za serikali magufuli alipanga bei? Kama nani? Nyumba za serikali magufuli aliuza kama nani? Jitahidini hata muwe mnafuatilia mambo kabla ya kuandika humu. Sumaye keshatolea majibu kuwa yeye kama kiongozi wa serikali alihusika na kwamba tume zaidi ya tatu zilishughulikia swala hili. Valuers ndiyo wanapanga bei kutikana na value ya kitu na si magufuli. Kua akili usikue mwili tuu
 
Napenda kutangaza rasmi kwa niaba ya watanzania wote nimemsamehe LOWASSA na nampa kura yangu
 
Wewe mleta mada tupe na zamakufuli kwanza acha kutoka povu ukawa na lowasa ni saratani ya moyo kwenu ccm
 
Uuzwaji wa nyumba za watumishi
Mabehewa feki
Escrow
Meremeta
Hasara ya meli ya samaki

Ongezea zingine na wewe.
 
 
Kashfa Za Magufuli Ni Za Kutafta Tafta Nazo Ni Vgum Kuztafta, Lakin Za Huyu Jamaa Ni Hatari Ziko Straight Forward
 
"CCM mkitaka #KURA yangu semeni ukweli nani anahusika na hizi tuhuma? na wahusika wamechukuliwa hatua gani?
-Katiba pendekezwa nani aliyaondoa maoni ya wananchi ambayo yalikuwepo kwenye rasimu ya Warioba?
-Mabehewa feki
-Kiwira
-Richmond
-Epa
-Escrow
-Epa
-Dowans
-IPTL
-NET GROUP SOLUTIONS
-Usafirishaji wa wanyama nje ya nchi mfano twiga alipandaje ndege?
-Biashara ya pembe za ndovu
-Biashara ya madawa ya kulevya
-Meremeta
-Mikataba ya gesi na mafuta
-Uuzwaji wa nyumba za serikali
Nahitaji majibu ya hayo maswali siyo porojo tuuuuu.
 
ukasuku huu tuuoneshe wakati wa kupiga kura
 

unaombewa na gwajima wewe
 
Wana Ukawa Mkaombewe Na Gwajima, Ila Wake Zenu Weka Mbali Sana
 
Tunataka kumpa nchi ili aiuze maana tumechoka kudaiwa aiuze nchi ili alipe madeni tunayodaiwa

madeni yalioletwa na ccm

mkuu upo seriouz kweli???? sikubali
 
Akiwa waziri wa ardhi ndiye aliyenusru mnazimmoja isichukuliwe na shemeji na hakuna ranchi iliyochukuliwa akiwa ardhi,nisaidie mmiliki wa iliyokuwa dakawa ranch na mtibwa estate tafadhari
 
inaniuma tuhuma zote izo bado liko nje wa tz awana uwezo wa kuliukumu lakini wanaweza kuwaondoa wanao linda majizi oct25
 

Umesahau tuhuma moja muhimu sana kuwa LOWASSA ATASHINDA NA KUWA RAIS WA TZ pia tuhuma nyingine kuwa LOWASSA anaitumua NEC kuihujum CCM..

Mmmmh!. huyu mzee ana tuhuma nyingi kweli.
 
Kila mnavyozidi kumzushia ndivyo tunapozidi kumpenda
 
Mleta maada naomba nikuulize swali, baba yako mzazi alienda kwenye msiba wa Nyerere? na kama alienda ni nini kiliongezeka msibani? au alienda tu kula pilau.

Kwenda msibani si lazima hata wewe hujaenda katika misiba yote inayotokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…