Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Nimeshangaa sana, sijajua vigezo vyaoPep guardiola
Wametumia vigezo gan mbona 10hag simuoni hapo
hata akiwepo hawezi shinda.Pep guardiola
Wametumia vigezo gan mbona 10hag simuoni hapo
Mbona hurry potter wetu na FL hawamo wakati wamepambana tusishuke daraja.EPL imetoa orodha ya makocha sita wanaowania tuzo ya kocha bora wa msimu. Makocha hao watapigiwa kura na mmoja wao ataibuka kidedea na kutangazwa hapo baadae. Wewe ungemchagua nani?
1. Pep Guardiola - Man City
2. Mikel Arteta - Arsenal
3. Eddie Howe - Newcastle Utd
4. Roberto De Zerbi - Brighton
5.Unai Emery - Aston Villa
6. Marco Silva - Fulham
View attachment 2626589
Maana ukimtoa pep arteta hana tofauti na wengine waliobakiNimeshangaa sana, sijajua vigezo vyao
Arteta ameshindwa kumalizia msimu na hapo ndipo palipomgharimuMaana ukimtoa pep arteta hana tofauti na wengine waliobaki
Kashindwa kumalizia mkia😂😂Kipara 💯
Arteta Bottler of the season
Bonge la kocha na ikumbukwe aliichukua Brighton mwezi wa tisa au wa kumi lakini hajayumbaDe zerbi mnyama
Mkuu acha utani basi😂😂Mbona hurry potter wetu na FL hawamo wakati wamepambana tusishuke daraja.
NakubaliDe Zerbi 🔵
Naunga mkono hojaEddie Howe! Deserves to be crowned! Apewe maua yake!
Fun fact about PepSir Pep Guardiola
The greatest ever
Mkuu tuko nafasi ya 11 kwasasa hatushuki tena pongezi ziende kwa Todd mmiliki kwa kukurupuka na kufukuza Tuchal na kuleta hurry Poter na project yake[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu acha utani basi[emoji23][emoji23]