Orodha ya Kocha Bora wa Msimu EPL, unamchagua nani na kwanini?

Orodha ya Kocha Bora wa Msimu EPL, unamchagua nani na kwanini?

EPL imetoa orodha ya makocha sita wanaowania tuzo ya kocha bora wa msimu. Makocha hao watapigiwa kura na mmoja wao ataibuka kidedea na kutangazwa hapo baadae. Wewe ungemchagua nani?
1. Pep Guardiola - Man City
2. Mikel Arteta - Arsenal
3. Eddie Howe - Newcastle Utd
4. Roberto De Zerbi - Brighton
5.Unai Emery - Aston Villa
6. Marco Silva - Fulham
View attachment 2626589
Kwangu arteta wa arsenal hapana kaonyesha uchanga mkubwa wa ukocha vikombe vyote katolewa kaongoza Epl kwa match day ya 32 ndo akaanza kupoteza kwa kasi, sasa mtu kama huyu unampa ukocha bora kwa kutumia vigezo gani? hata carabao kaondolewa mapema uropa out, FA Cup hata robo akufika.......hao ni kama Simba tuwandalie kikombe cha 'kufa kiume'[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Pep Guardiola is the best coach of the time, labda watu hawajui historia yake. The Greatest ever coach, Pep Guardiola.
Uchawi wa pep ni kua na kikosi kipana na wachezaji mature first class players wenye uzoefu wakutosha, hana ule ujinga wa arsenal wa kulea watoto for future wakati future ni sasa hivi wale vijana wa arsenal ni wadogo kiasi hawawezi kumudu ile kasi na momentum ya epl lazima wachoke wapoteze concentration unakuja kufungwa na midtable team 3-0 kweli wakati unahitaji hilo taji umebakiza mechi 3 tu.
 
Mikel Arteta
Alikuwa na kikosi kifunyu lakini alivo manage
Gudiola alikuwa na Kila kitu hata Ile man city umpe mtu yeyote atakupa ubingwa
 
Eddie Howe.
Kwanza mafanikio hayapimwi Kwa kuchukua kikombe pekee ila namna kikosi chako msimu huo kilivo jitahidi kukabiliana na changamoto pale kilipikutana na team zenye ubora na zisizo na ubora.
Wote tumeiona Newcastle ilipo na hakika atabaki top4 na kympa tiketi ya kushiriki UEFA msimu ujao.

Ningempa wa Brighton lakini Kwa kuwalinganisha wote wana mafanikio Kwa haraka sana ila mmoja yopo top4 tayari.

Howe amekua na uwezo wa kukijenga kikosi kiwe Cha kiushindani licha ya uwezo mdogo WA wachezaji, hawako overated saana ila wakicheza utafrahi.

Jambo alilofanikiwa zaid ni Defense imeimarika pale Newcastle licha ya kua na uchochoro baadhi ya michezo ila haimaanishi sio wazuri.

Howe the great coach.
 
EPL imetoa orodha ya makocha sita wanaowania tuzo ya kocha bora wa msimu. Makocha hao watapigiwa kura na mmoja wao ataibuka kidedea na kutangazwa hapo baadae. Wewe ungemchagua nani?
1. Pep Guardiola - Man City
2. Mikel Arteta - Arsenal
3. Eddie Howe - Newcastle Utd
4. Roberto De Zerbi - Brighton
5.Unai Emery - Aston Villa
6. Marco Silva - Fulham
View attachment 2626589
Roberto De Zerbi - Brighton
 
Wote roberto,unai na howe wanastahilli
Tatizo una, roberto wamezifikisha wapi timu zao, Howe Yuko top 4 na mwakan anacheza uefa,kawapiga gap[emoji4]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wamezitoa shimoni Mkuu . Howe wachezaji wanajitutumua kwa sababu timu ina hela na ndio maana morali yao ipo juu, Howe huyu yuyu aliishusha Bournemouth daraja😂 😂 😂
 
Kama huyu hayupo, hiyo list ni batili. Jamaa ana deserve kuwa kocha bora wa EPL
IMG-20230515-WA0019.jpg
 
Guardiola atachukua kocha bora kwenye zile tuzo za ulaya, najua huko hana mpinzani. He has astonishing run so far to the Final. Lazima ashinde whether atachukua UEFA au Lah!

Ila kwa epl, naona kama arteta has done a wonderful job kwa kikosi chake. Kumtoa Guardiola jasho kwenye kipara chake kwa kumuweka hapo mkiani robo tatu nzima ya msimu sio mchezo! Klopp pekee ndio alieweza kufanya hivyo misimu iliyopita na alikua na liverpool ya moto sana ambayo huwezi kuiweka sahani moja na arsenal.

Kwaiyo its Arteta for me. Great Job!
 
Back
Top Bottom