Orodha ya Kocha Bora wa Msimu EPL, unamchagua nani na kwanini?

Orodha ya Kocha Bora wa Msimu EPL, unamchagua nani na kwanini?

MIMI naweza nisimpe peP japo ni bora kimatokeo kwa sababu pamoja na hayo ana kikosi bora na cha thamani zaidi ya wengine...tungelinganisha aina ya wachezaji dhamani yao vs matokeo wanayopata...tuwashindanishe hao wengine PeP tumweke kando achukue uzo ya kikosi bora...Mwalimu mzuri ni yule anayewafundisha wasiokuwa na uwezo na kuwafanya waweze...
 
Back
Top Bottom