Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #21
Na Super Frankie Lampard😂😂Mkuu tuko nafasi ya 11 kwasasa hatushuki tena pongezi ziende kwa Todd mmiliki kwa kukurupuka na kufukuza Tuchal na kuleta hurry Poter na project yake[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kazingua sana.Kashindwa kumalizia mkia😂😂
Kwangu arteta wa arsenal hapana kaonyesha uchanga mkubwa wa ukocha vikombe vyote katolewa kaongoza Epl kwa match day ya 32 ndo akaanza kupoteza kwa kasi, sasa mtu kama huyu unampa ukocha bora kwa kutumia vigezo gani? hata carabao kaondolewa mapema uropa out, FA Cup hata robo akufika.......hao ni kama Simba tuwandalie kikombe cha 'kufa kiume'[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]EPL imetoa orodha ya makocha sita wanaowania tuzo ya kocha bora wa msimu. Makocha hao watapigiwa kura na mmoja wao ataibuka kidedea na kutangazwa hapo baadae. Wewe ungemchagua nani?
1. Pep Guardiola - Man City
2. Mikel Arteta - Arsenal
3. Eddie Howe - Newcastle Utd
4. Roberto De Zerbi - Brighton
5.Unai Emery - Aston Villa
6. Marco Silva - Fulham
View attachment 2626589
Uchawi wa pep ni kua na kikosi kipana na wachezaji mature first class players wenye uzoefu wakutosha, hana ule ujinga wa arsenal wa kulea watoto for future wakati future ni sasa hivi wale vijana wa arsenal ni wadogo kiasi hawawezi kumudu ile kasi na momentum ya epl lazima wachoke wapoteze concentration unakuja kufungwa na midtable team 3-0 kweli wakati unahitaji hilo taji umebakiza mechi 3 tu.Pep Guardiola is the best coach of the time, labda watu hawajui historia yake. The Greatest ever coach, Pep Guardiola.
Roberto De Zerbi - BrightonEPL imetoa orodha ya makocha sita wanaowania tuzo ya kocha bora wa msimu. Makocha hao watapigiwa kura na mmoja wao ataibuka kidedea na kutangazwa hapo baadae. Wewe ungemchagua nani?
1. Pep Guardiola - Man City
2. Mikel Arteta - Arsenal
3. Eddie Howe - Newcastle Utd
4. Roberto De Zerbi - Brighton
5.Unai Emery - Aston Villa
6. Marco Silva - Fulham
View attachment 2626589
Unai na Roberto wa Brighton wanastahili sana hii tuzo sio hao wengineKwa vikombe,pep anastahili
Ki utaalam, wa Newcastle anastahili
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wote roberto,unai na howe wanastahilliUnai na Roberto wa Brighton wanastahili sana hii tuzo sio hao wengine
Wamezitoa shimoni Mkuu . Howe wachezaji wanajitutumua kwa sababu timu ina hela na ndio maana morali yao ipo juu, Howe huyu yuyu aliishusha Bournemouth daraja😂 😂 😂Wote roberto,unai na howe wanastahilli
Tatizo una, roberto wamezifikisha wapi timu zao, Howe Yuko top 4 na mwakan anacheza uefa,kawapiga gap[emoji4]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sometimes jaribu kuwa na hekima basi Mkuu, kwanini usianzishe uzi au ukaenda kwenye thread za hizo timu?Kama huyu hayupo, hiyo list ni batili. Jamaa ana deserve kuwa kocha bora wa EPL
View attachment 2626849
Wamezitoa shimoni Mkuu . Howe wachezaji wanajitutumua kwa sababu timu ina hela na ndio maana morali yao ipo juu, Howe huyu yuyu aliishusha Bournemouth daraja😂 😂 😂