Orodha ya magonjwa ambayo ukiyapata hayatibiki kwa hapa Tanzania

Hapana ni ukweli kama una shida hiyo inawezekana nikakuelekeza ukaongea naye jinsi ya kupata dawa zako basi..
Hapo umenena learned friend. Mimi sina ila bi mkubwa kisukari kinamsumbua. Gharama za hicho kisukari ni pamoja na manynyanyaso ninayoyapata hapa JF kutoka kwa Lamomy ! Naamini akipona, pengine nami siku moja nitamtambia hapa JF
 
Seriously? 😳
 
Uko sahihi! Kwa hii experience yako sina cha kujielezea sana! Ni kwa vile namjua mtu aliyesumbuka na sukari miaka mingi na sasa amepona kwa mitishamba!
Likewise!
 
Sijasema siihitaji. Naihitaji kwa ajili ya bi mkubwa anayesumbuliwa na kisukari ajaribu. You never know, inaweza kumsaidia akapona kama huyo mkwe wetu alivyopona.
 
Sawa labda nikupe mawasiliano yake ujaribu kuongea naye..
 
Mwambie kuna dada amekupa no hii kuhusiana na hilo swala lako! Namie ntampigia baadae namalizia shift
Upo hewani sasa? Naona mhe hapatikani au anazuia namba ngeni. Nitakupa hapa ukiwa hewani umpatie ili aipokee
 
Pole nilikuwa nimebanana, nipe nimpatie tu huenda yuko shambani, hana shida!
 
Hapo umenena learned friend. Mimi sina ila bi mkubwa kisukari kinamsumbua. Gharama za hicho kisukari ni pamoja na manynyanyaso ninayoyapata hapa JF kutoka kwa Lamomy ! Naamini akipona, pengine nami siku moja nitamtambia hapa JF
Ugonjwa wa mama yako mi nahusika vipi G?

Nwei, mpe pole sana..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…