Uko india ni kwa moto niliona kwenye kipindi cha Traffiking uko wanavyotengeneza mzigo feki kwa kutumia unga wa muhogo au glucose ni shida na mzigo unaenda all over the cityPia kumbukeni dawa nyingi tunazotumia nchi hii ni za ubora wa chini sana,. Mfano mzuri jaribu kulinganisha ubora wa Amoxiclav hizi za India ( Myclav, and the likes) na Amoxiclav ile original Augmentin ya GSK( European Quality)
Mbona hampeleki mahospitalini au basi pelekeni NIMR wakazifanyie utafiti ziwe sokoniKisukari inatibika kwa miti shamba
Saratani inatibika siku hizi. Kitu cha muhimu ni kuiwahiSaratani haijawahi kuwa na tiba popote pale duniani, ukiupata huu ugonjwa kinachobakia ni kusogeza siku tu
Mkuu, kongoleTatizo kubwa kwetu ni kwamba tiba huanza baada ya ugonjwa kuwa umeshakomaa sana. Bado uwezo wetu wa kutambua magonjwa na kuyatibu yangali hayajakomaa hauridhishi. Halafu tatizo jingine nadhani vipimo vyetu vingi havijitoshelezi. Yaani dakatari anaweza kukupa dawa ya ugonjwa fulani kutokana na kipimo kimoja bila kuangalia kama kipimo hicho kinakubaliana na vipimo vingine; kwa hiyo tiba inakuwa ya trial and error.
Lakini kwa Mungu yote yanawezekana, hakuna jambo lisilowezekana kwa Mungu, hakuna ugonjwa Mungu haponyi, haupo, hakuna kinachomshinda Mungu. Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, alichubuliwa kwa maovu yetu, adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, na kwa kupigwa kwake sisi tumepona. Pia Zaburi imeandikwa, Eeh nafsi yangu umhimidi Bwana, Naam wala usisahau fadhili zake, akusamehe maovu yako yote, akuponya magonjwa yako yote.
Wale walio na matumaini katika Bwana, amewatokea, wale wasio na matumaini katika Bwana hatawatokea na kuwaponya. Tumaini langu mimi binafsi ni kwa Bwana kwa maana ana uweza wa milele.
Seran ulisahau hiiSawa
Kama una uwezo mpeleke India Apollo Hospital, ni mabingwa kwa haya majambo.Nimekuja nyumbani kum-check Bi Mkubwa alikuwa anasumbuliwa na tumbo muda mrefu juzi nimempeleka vipimo vikubwa amekutwa na cancer ipo kati ya ini,nyongo na utumbo mdogo waliniambia inaitwa kitu kama Cholangiocarcinoma.
Imeniumiza sana akili kujua mama yangu anaugua kansa,nimeshauriwa nimpeleke Muhimbili moja kwa moja naomba Mungu jambo likawe jepesi.
huu ndo ule wa kutetemeka mikono siyo?Kuna ndugu yangu ana Rheumatoid Arthritis. Nao tumeambiwa hauna tiba
Kwa huo uwezo hapana nimeambiwa inawezekana kuizuia isiendelee kumletea madhara nadhani Kibongo Bongo ni kujua imefika stage gani then tunaanza nayo hapo.Kama una uwezo mpeleke India Apollo Hospital, ni mabingwa kwa haya majambo.
Mungu akufanyie wepesi mama yako awe sawa mkuu!Nimekuja nyumbani kum-check Bi Mkubwa alikuwa anasumbuliwa na tumbo muda mrefu juzi nimempeleka vipimo vikubwa amekutwa na cancer ipo kati ya ini,nyongo na utumbo mdogo waliniambia inaitwa kitu kama Cholangiocarcinoma.
Imeniumiza sana akili kujua mama yangu anaugua kansa,nimeshauriwa nimpeleke Muhimbili moja kwa moja naomba Mungu jambo likawe jepesi.
Jibu zuri sana la kisiasaKwakweli ni muda mrefu, huyu ni mzee mmoja yuko vijijini..
Shukrani sanaMungu akufanyie wepesi mama yako awe sawa mkuu!
Hapana ni ukweli kama una shida hiyo inawezekana nikakuelekeza ukaongea naye jinsi ya kupata dawa zako basi..Jibu zuri sana la kisiasa