Kabisa nimeonaUsiishie hapo, itumie in everything hata plan za kutengeneza pesa pia
Kabisa nimeonaUsiishie hapo, itumie in everything hata plan za kutengeneza pesa pia
Ya kumesa mwenzie je?Ngir bawasir nicheki 0712505049
BushaOngezeeni mengine hapo
Ule ugonjwa wa kupinda Miguu unawapata sana wazee wa Tanga unaujua?Arthritis, asthma, Crohn's, MS, lupus na mengineyo yanatulia au kupoteza symptoms kwa life style changes kuliko dawa za hospitali
Nani alikupotosha na kukaririshwa hilo?Nyege haina Tiba.....
Ni kitu Gani hichoNani alikupotosha na kukaririshwa hilo?
Nyege ikose tiba, masihara hayo.
Sijaelewa swali, unauliza term 'nyege' au au tiba?Ni kitu Gani hicho
Inatibika aje MkuuSijaelewa swali, unauliza term 'nyege' au au tiba?
Kwa njia ya sex.Inatibika aje Mkuu
Vip kwa wale ambao wako single ambao hawajapata wenza sahihi?,au wale wamefiwa na waume zao au wake zao? au wale wenza wao wapo Safari kikazi au kimasomo muda mrefu?wao wafanyeje?Kwa njia ya sex.
Si unajua tena, dawa ya moto ni maji na si moto.
Huo ugonjwa siujui chief.Ule ugonjwa wa kupinda Miguu unawapata sana wazee wa Tanga unaujua
Inatibika aje Mkuu
😁😆😜 Mkuu nimeecheka kwa sababu nililijibu swali lile simple la msingi, kwamba 'dawa ya naniliu ni nini'?Vip kwa wale ambao wako single ambao hawajapata wenza sahihi?,au wale wamefiwa na waume zao au wake zao? au wale wenza wao wapo Safari kikazi au kimasomo muda mrefu?wao wafanyeje?
4. Hypertension (Pressure )Kuna magonjwa ambayo kwa hapa Tanzania ukiyapata ngumu sana kutibiwa nayo ni:
1. Saratani (Cancer)
2. Vidonda vya tumbo
3. Kisukari
Ongezeeni mengine hapo
Nasubiri ushuhuda huuMkuu mfungua uzi na yeyote atakaeguswa ..Rheumatoid Arthritis inaweza tibiwa hospital za india ?mwenye ushuhuda wa kupona huu ugonjwa eitha kwa dawa za asili au hospital ajitokeze atupe ushuhuda alitiviwa wapi na dawa gani alitumia akapona
Vidonda vya tumbo ondoa dawa ipo 100%Kuna magonjwa ambayo kwa hapa Tanzania ukiyapata ngumu sana kutibiwa nayo ni:
1. Saratani (Cancer)
2. Vidonda vya tumbo
3. Kisukari
Ongezeeni mengine hapo