Orodha ya majiji, miji na wilaya zenye mzunguko mkubwa wa hela Tanzania

Uko sahihi. Mapato ya ndani yanaonyesha uhalisia wa uzalishaji na uwezo wa wakazi wa eneo husika au kutoka nje ya wilaya kufanya manunuzi ya bidhaa hasa minadani zilizozalishwa kwenye wilaya husika.
 
Wewe unaumwa.mji wa tunduma unanini zaidi ya mpaka.
Sasa wewe ndio una matatizo..

Usiseme mpaka maana hata kwenu Tandahimba,,kakonko,Rombo nk kote kuna mpaka ila hakuna hata Mji mmja unaoweza kusogeza pua kwa Tunduma..

You know why ,jibu ni kwamba tuna mpaka ambao ni Lango kuu la Kuingia Tanzania kutoka Sadc hivyo tuna fursa kubwa kuliko huko kwenu..

Narudia tena,mwaka ujao mtapitwa mapato na Tunduma na Njombe na moja ya Sababu ni kwamba ushuru wa parking umerudi Halmashauri kutoka Tarura,huku kuna magari mengi kuliko Kahama..

Kuna sababu nyingi za kupitwa.
 

Njombe hoyeeee
 
Mkumbushe kwamba nguvukazi (vijana wa kike na wa kiume) Wana macho mekundu pombe na ule mchicha wa namanga vitaleta balaa miaka kadhaa ijayo.
 
Unavyosema USA RIVER sio arusha cc ,mbalizi sio mbeya sijui usangu .wajumlishe..it's okey..mwanza nasi tunajumlisha mapato ya miji ya Usagara ,kigogo ferry,kisesa,fela ,nyashishi maana ni maeneo yaliyo nje ya halmashauri za mwanza jiji na ilemela ila zimeungana na jiji..
 
Hivi Dodoma ni vyanzo gani hasa vinavyofanya iingize pato kubwa hivo? Tusije tukawa tunapromote tu kisa ni makao makuu ya nchi.
 
Kwa maelezo yako haya. Nimeelewa Dodoma ni sababu ya uuzaji wa viwanja na ujenzi unaoendelea kwa kasi ktk jiji hilo ndo maana mzunguko upo sana lkn naipa muda mambo yatulie kuwa sasa shughuli za ujenz zimeisha itakuja kuzidiwa hadi na kahama.
 

We tambua kuwa toka dunia iumbwe na kamwe haitotokea Mwanza kuzidiwa Mapato na wachimba viazi wa mbeya.
 
Nawe hujui kitu unalinganisha IIemela na Mbalizi ? Tatizo hata hiyo Mwanza unaisiikia tu wala hujawahi fika. Aidha, unalinganisha Ilemela yenye maeneo kama Kirumba, Kitangiri, Nyamanoro, Pasiansi, Nyasaka, Kiloleli, Buzuruga, Nyakato National, Buswelu, Nyamhongolo, Ilemela na Usa River ? Hauko serious.
 
Kwa hiyo Mwanza ndo haijagawanywa eti?! Mkoa wa Geita umegawanywa kutoka mkoa gani? Wilaya ya busega mkoani simiyu imemegwa kutoka mkoa gani? Hakuna mwaka toka dunia iumbwe mbeya ilizidi Mwanza.
Na haitatokea kijiji cha Mbeya kulishinda Jiji LA Pili TZ
 
Wewe jibu hoja siyo kuleta matusi ya bangi za njombe hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…