Orodha ya majiji, miji na wilaya zenye mzunguko mkubwa wa hela Tanzania

Orodha ya majiji, miji na wilaya zenye mzunguko mkubwa wa hela Tanzania

Ndio,kama Mwanza,Shinyanga,Simiyu na Tabora mnalala na njaa.
Bila kutaja mikoa ya baba zako hulali nyau wewe. Endelea kula bange za toka utotoni na kamwe Sukumaland haitizidiwa na Hiyo Nyanda za juu kusini yako. Huko ni uswekeni tu. Na sasa hivi ngoshas tunaanza kuiteka hiyo mikoa yenu ya wavuta bangi. Baada ya miaka ishirini ijayo huko kote itakuwa Sukumaland. Huo ndio ukweli mchungu.
 
Acha utani Mzee,hako ka airstrip ambako hakaishagi na juzi mkuu was mkoa anasema Sukuma gang wamepiga pesa Ndio international airport?

Hiyo ikiwa international airport na Msalato itaitwaje sasa.
Hivi wewe haujui kuwa mwanza ndo inawateja wengi wa ndege wa local nchi nzima! Dodoma hapo kuna nini?
 
Moja kwa Moja kwenye mada,

Leo nawajuza List ya Majiji,Miji,Manispaa na Wilaya 50 Zenye Mzunguko Mkubwa wa Hela hapa Tanzania ambazo zinafaa kwa biashara na uwekezaji..

Kigezo kinachotumika ni Makusanyo ya Mapato ya Ndani kuanzia shilingi Bilioni 4 na kuendelea kama yalivyoandaliwa na Tamisemi kwa mwaka 2021/2022.

Makusanyo hayo yanaashiria kwamba maeneo hayo yana shughuli za Kiuchumi zinazoleta pesa kwa watu na hivyo watu Wana purchasing power nzuri..

Figures are in Billions Tanzania Shilling.

1. Dar es Salaam CC=167.557

2. Dodoma CC=45.108,

3. Mwanza CC=27.688,

4. Arusha CC=24.333'

5. Tanga CC=17.392,

6. Mbeya CC=15.228,

7. Chalinze DC=10.240,

8. Mkuranga DC=10.011,

9. Kahama MC=9.957,

10. Morogoro MC=9.353,

11. Geita TC=9.024,

12. Tunduma TC =8.593,

13. Njombe TC=8.473,

14. Mufindi DC=8.232,

15. Moshi MC=7.570,

16. Tarime DC=6.718,

17.Mafinga TC=6.306,

18. Mbarali DC=6.241,

19. Rufiji DC=6.040,

20. Muleba DC=5.718,

21. Hanang' DC=5.655,

22. Mbinga DC=5.578,

23. Rungwe DC=5.521,

24.Kibaha TC=5.352,

25. Morogoro DC=5.268,

26. Geita DC=5.186,

27. Chunya DC=5.113,

28. Shinyanga MC=5.100,

29. Kilosa DC=5.093,

30. Iringa MC=5.018,

31. Kaliua DC=4.981,

32. Songea MC=4.912,

33. Ifakara TC=4.898,

34. Tabora MC=4.827,

35. Kilwa DC=4.779,

36. Mbeya DC=4.778,

37. Karatu DC=4.746,

38. Kibaha DC=4.664,

39. Msalala DC=4.634,

40. Misenyi DC=4.595,

41. Tandahimba DC=4.507,

42. Tanganyika DC=4.452,

43. Rungwe DC=4.421,

44. Tunduru DC=4.400,

45. Bagamoyo DC=4.322,

46. Singida MC=4.286,

47. Igunga DC=4.207,

48. Wanging'ombe DC=4.186,

49. Ngara DC=4.142,

50. Njombe DC=4.001..

My Take..

Mikoa ya Dsm, Pwani, Mbeya, Morogoro, Njombe na Shinyanga Wilaya zake ziko vizuri sana.[emoji116]

View attachment 2313627View attachment 2313628
Kuna kitu sijakielewa vizuri kuhusu Moshi. Yaani na kelele zote za wachaga kujisifia kwamba sijui wanaongoza kipato kitaifa, katika top 50 kuna halmashauri yao moja tu?? Tena mji wao mkuu??[emoji2][emoji2]

Namba hazidanganyi
 
Unaota wewe, yaani uliwahi kuona wapi Mji ukafunguliwa fursa afu ukaacha kuvutia wawekezaji?

Sasa hapa utakuwa unawanga mchana maana wenzio huwa wanawanga usiku.

Ni hivi Dom haipoi leo wala kesho na itazidi kupanua gap na Mwanza nk na kupunguza Gap na Dar..

Tunaongea hapa Airport bado,Ring Road bado,Uwanja wa mpira bado, International convention bado,Hotel za nyota 5 zote zinazoendelea kujengwa bado,upanuzi wa barabara njia 4 kila upande bado na awamu ya pili ya ujenzi wa Mji wa serikali bado nk nk..

Hivi kweli unawaza kuna siku Dom itapoa? Wakati unawaza kuna viwanda kibao vinaendelea kujengwa achilia mbali miradi mingine ya Serikali na private sector..

Huko Mwanza labda mjitahidi kile Kiwanda cha Dhahabu kiwa boost kidogo lakini unfortunately hata Dodoma kuna Kiwanda cha Dhahabu.
Sasa hivi yule mwendawazimu mkurupukaji kafa. Usitegemee tena pesa ikusanywe mbeya ikajenge Dodoma never lazima mgawanyo ulingane Ili nchi Kwa ujumla tufaidi matunda ya kodi zetu.

Kodi zote zilipelekwa chato, mwanza na Dodoma Sasa hayo hayatakuwepo tena
 
Iko wapi sasa mbona hatuoni ikiwa busy kama Arusha au Zanzibar?
Kwataarifa yako Mwanza international airport ni ya pili kwa domestic route baada ya Dar ni Ya tatu kwa overall baada ya Dar na kilimanjaro international aiport na hii imekuwa hivyo kwasababu serikali bado haijatoa lisence kwa ndege za kimatifa za abiria(schedule airline).Zaidi international airline zinazotumia Mwanza ni charter airline na mizigo
 
Sasa hivi yule mwendawazimu mkurupukaji kafa. Usitegemee tena pesa ikusanywe mbeya ikajenge Dodoma never lazima mgawanyo ulingane Ili nchi Kwa ujumla tufaidi matunda ya kodi zetu.

Kodi zote zilipelekwa chato, mwanza na Dodoma Sasa hayo hayatakuwepo tena
Wewe unaandika tu Kwasababu unajua kusoma na kuandika.Kama mwanza na Geita zingejengwa kwa mapato yake yanayochangwa kwenye pato la taifa sidhani kama kungekuwa na mkoa wa kuifikia Mwanza na Geita.Wewe fikiria kiutu uzima hivi kweli four lane road Mwanza niyakujengwa na hela za sherehe za uhuru na yenyewe ya km 10 haina taa zimeshindikana kuwekwa??,Pili pamoja na Mwanza kuwa na mchango mkubwa lakini airport terminal inajengwa na halmashauri maana yake serikali haina badget ya kujenga,Mwanza hakuna hospital kubwa ya serikali zaidi ni mission bugando,Mwanza hakuna chuo kuu cha serikali hata kimoja cha serikali zaidi vyuo vya kikatoliki tu,Mwanza soko lenyewe ndo linajengwa saizi na kukamila kwenyewe imekuwa tamthilia.Halafu linatoka huko jinga moja linaseama Mwanza na kanda ya ziwa inapendelewa,ukiliuliza kwa lipi linakenua meno.Mwanza inakuwa compitetive east africa kwa hardwork za wakazi wake wanao toka mikoa yote Tanzania.Mwanza kuna barabara mbovu kuliko majiji yote kulingana na mahitaji mfano barabara kenyatta(kenyatta road) inavilaka na makorongo kutoka Posta mpaka usagara utadhani ni barabara ya kupitisha vifaru ukraine.
 
Serikali ingeweka mkono kidogo tu Mwanza hili jiji lingekuwa mbali sana, na tungeanza kupambana na majiji kama Durban n.k. Napongeza sana wenyeji wa Mwanza kwa kuzidi kuijenga Mwanza🙏🙏
 
Mwanza inakuwaje chini ya Dodoma
Mimi nadhani iko hivi, haya ni makusanyo ya halmashauri za majiji, Municipal na DC.
Sasa hao wanakusanya minadani, ushuru na kodi za biashara za kawaida.
Mwanza inahodhi makampuni makubwa sana ambayo yanalipa kodi kubwa kubwa lakini through TRA.
 
Kwa maelezo yako haya. Nimeelewa Dodoma ni sababu ya uuzaji wa viwanja na ujenzi unaoendelea kwa kasi ktk jiji hilo ndo maana mzunguko upo sana lkn naipa muda mambo yatulie kuwa sasa shughuli za ujenz zimeisha itakuja kuzidiwa hadi na kahama.
Haijawahi tokea dunian mji uliojengwa kama usemavyo arafu baadae ukatulia, iko hivi, ikiwa dodoma ujenzi ndio huleta pesa kwanza ujenzi hauwez kusimama, pili kinachojengwa huwa n kitega uchumi pesa huwa nyingi zaid baada ya kukamilik na sio wakt wa kujengwa...

Mfn. Dodoma kuna majengo ya biashara yanajengwa ni pamoja na hotels, ss ikikamilik ndio pesa itaongezek kwasbb watu wataenda kula, kulala, kunywa, watafny vikao, watakodi kumbi za sherehe hotel zitalip 10% ya mapato ya hotel na lodge, kila mwez. Km ni maduk na malls license zitalipiwa na service levy, yan shughuli ndio zitachangamk daima yan Dom ndio bas tena usiwaze kuwa itakuj kushuk.
 
Hoja ni mkoa wa mbeya kuuzidi mkoa Mwanza, na ikatolewa sababu kuwa mkoa wa mbeya ulimegwa ndo maana hivi Sasa unalambishwa mchanga, nikamjibu jamaa nawe ndo ukadandia hoja kwa mbele na hicho kioja chako, ni kwamba haijawahi kutokea na haitatokea mbeya kuizidi Mwanza, iwe Jiji kwa Jiji au mkoa kwa mkoa.
We jamaa ivi records za mapato ya mikoa miaka 12 iliyopita wakt ambao, Rukwa, songwe, sehem ya njombe ilikua mkoa wa mbeya. Mwanza ilikua inahaha tu mbali kbsa kwa mbeya
 
Serikali ingeweka mkono kidogo tu Mwanza hili jiji lingekuwa mbali sana, na tungeanza kupambana na majiji kama Durban n.k. Napongeza sana wenyeji wa Mwanza kwa kuzidi kuijenga Mwanza🙏🙏
Ni Arusha, Dar na Dom ndio hubebwa haswa na serikali. Baada ya hiyo mikoa inafata Mwanza.

Mbeya pamoja na ubishi wake wote ndio mkoa ambao umesahaulik kbsa kbsa, kwanza serikali haijawah kuwa na mradi wowote wa kiuchum mbeya.

Unapolalama kuhus mwanza kutopewa support, kumbuk madaraja, malls, hotel za serikali, majengo mengi marefu na mazuri mwanza n ya serikali kupitia mifuko ya wafanyakz km NHIF.

Viwanja vya ndege, stand za bus, bandari na mipango miji.

Mbeya ht double road hakuna, mbeya hakun stand, hiyo SIA (songwe int'l airport) mpk ss hakun terminal, hakun mataa. Mbeya hain chcht cha serikali hkun kitu.

Jitihad za wenyeji zimepelekea jiji na mkoa ule ushindane na supported cities nchin.

TokJPM aingie madarkn kajenga jengo moja tu la hospital ya META na mpk ss kwa SAMIA hajafny lolote yan hamn kitu.

Mbeya inetengwa sn km ingepewa support km zipewavyo arusha, dom, dar na mwanza.

Probably mbeya ingekua nchi ndan ya nchi. Yan mapato yake yangekuwa sawa n taifa zima
 
Mimi nadhani iko hivi, haya ni makusanyo ya halmashauri za majiji, Municipal na DC.
Sasa hao wanakusanya minadani, ushuru na kodi za biashara za kawaida.
Mwanza inahodhi makampuni makubwa sana ambayo yanalipa kodi kubwa kubwa lakini through TRA.
Nimekuelewa vizuri kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom