Orodha ya majiji, miji na wilaya zenye mzunguko mkubwa wa hela Tanzania

We jamaa ivi records za mapato ya mikoa miaka 12 iliyopita wakt ambao, Rukwa, songwe, sehem ya njombe ilikua mkoa wa mbeya. Mwanza ilikua inahaha tu mbali kbsa kwa mbeya
Miaka 12 iliyopita geita yenye GDP trillion 6.7 na mwanza yenye GDP trillion 11 na simiyu zilikuw mkoa mmoja ...[emoji847] ..sasa jumlisha GDP ya mbeya na songwe then jumlisha GDP ya mwanza na geita Kisha nambie Nan mkubwa wao
 
Ni Arusha, Dar na Dom ndio hubebwa haswa na serikali. Baada ya hiyo mikoa inafata Mwanza.

Mbeya pamoja na ubishi wake wote ndio mkoa ambao umesahaulik kbsa kbsa, kwanza serikali haijawah kuwa na mradi wowote wa kiuchum mbeya.

Unapolalama kuhus mwanza kutopewa support, kumbuk madaraja, malls, hotel za serikali, majengo mengi marefu na mazuri mwanza n ya serikali kupitia mifuko ya wafanyakz km NHIF.

Viwanja vya ndege, stand za bus, bandari na mipango miji.

Mbeya ht double road hakuna, mbeya hakun stand, hiyo SIA (songwe int'l airport) mpk ss hakun terminal, hakun mataa. Mbeya hain chcht cha serikali hkun kitu.

Jitihad za wenyeji zimepelekea jiji na mkoa ule ushindane na supported cities nchin.

TokJPM aingie madarkn kajenga jengo moja tu la hospital ya META na mpk ss kwa SAMIA hajafny lolote yan hamn kitu.

Mbeya inetengwa sn km ingepewa support km zipewavyo arusha, dom, dar na mwanza.

Probably mbeya ingekua nchi ndan ya nchi. Yan mapato yake yangekuwa sawa n taifa zima
Unaongea hujisikilizi... NHIF ndo wana jengo lefu mbeya ,,,unasema mataa pale mafiati hamna taa... double road hawawezi kujenga kama hamna foleni ya magari ulitaka wajengee bajaji au ...unasema mwanza imependelewa na serikali ngoja nikuoneshe ambavyo mbeya imependelewa kuliko Mwanza
...uwanja wa ndege wa kimataifa wakati hata ndege zinatua chache
...mnajengewa igawa to tunduma bypass na dual carriage
...mmejengewa soko la mwanjelwa
... mmejengewa mtandao mkubwa wa lami
....majengo yote makubwa mbeya ni ya serikali
..mmeletew vyuo vikuu vingi ....
Unailaumu serikali nni sasa
 
Ni Arusha, Dar na Dom ndio hubebwa haswa na serikali. Baada ya hiyo mikoa inafata Mwanza.

Mbeya pamoja na ubishi wake wote ndio mkoa ambao umesahaulik kbsa kbsa, kwanza serikali haijawah kuwa na mradi wowote wa kiuchum mbeya.

Unapolalama kuhus mwanza kutopewa support, kumbuk madaraja, malls, hotel za serikali, majengo mengi marefu na mazuri mwanza n ya serikali kupitia mifuko ya wafanyakz km NHIF.

Viwanja vya ndege, stand za bus, bandari na mipango miji.

Mbeya ht double road hakuna, mbeya hakun stand, hiyo SIA (songwe int'l airport) mpk ss hakun terminal, hakun mataa. Mbeya hain chcht cha serikali hkun kitu.

Jitihad za wenyeji zimepelekea jiji na mkoa ule ushindane na supported cities nchin.

TokJPM aingie madarkn kajenga jengo moja tu la hospital ya META na mpk ss kwa SAMIA hajafny lolote yan hamn kitu.

Mbeya inetengwa sn km ingepewa support km zipewavyo arusha, dom, dar na mwanza.

Probably mbeya ingekua nchi ndan ya nchi. Yan mapato yake yangekuwa sawa n taifa zima
Jitihada za serikali ndio zimefanya mbeya ikawa jiji
Mpaka mwaka 2019 mbeya ilikuwa bado haina vigezo vya kuwa jiji Kwa mujibu wa Sheria ya bunge ya mipango miji na serikali za mitaa
Jiji Lina Sifa zifuatazo .
1 idadi ya watu wanaozidi laki 5 ( rejea sensa 2012 uone mbeya)
2 uwezo wa kujiendesha kimapato Kwa asilimia 95
3 miundombinu na huduma Bora
4 asilimia 90+ ya wakazi wake wasitegemee kilimo
5 uwekezaji mkubwa katika viwanda
6 uwepo wa recreation center (parks,zoo,beach,n.k)
7uwepo wa vituo vya kimataifa ( kumbi za mikutano ,ofisi za pamoja n.k)
8 mzunguko mkubwa wa watu na biashara
9 uwepo wa hotel at least 4 stars na 3 stars
10 ukubwa wa mji atleas km 15 kutoka CBD
11 vituo vikubwa vya elimu( vyuo vikuu)
ANGALIA HAPA UONE MBEYA INA SIFA NGAPI
 
Jee ni kweli kuwa mwaka juzi Mkuu wa mkoa Chalamila aliongoza sherehe za uzinduzi wa LIFT ya kwanza jengo moja la serikali?
Na kwamba sherehe hizo zilifana sana kwa mahudhurio makubwa yakiongozwa na wasanii waalikwa kibao?
🤣🤣🤣
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio hvyo.af waseme wanafaa kuwa jij
 
Ni Arusha, Dar na Dom ndio hubebwa haswa na serikali. Baada ya hiyo mikoa inafata Mwanza.

Mbeya pamoja na ubishi wake wote ndio mkoa ambao umesahaulik kbsa kbsa, kwanza serikali haijawah kuwa na mradi wowote wa kiuchum mbeya.

Unapolalama kuhus mwanza kutopewa support, kumbuk madaraja, malls, hotel za serikali, majengo mengi marefu na mazuri mwanza n ya serikali kupitia mifuko ya wafanyakz km NHIF.

Viwanja vya ndege, stand za bus, bandari na mipango miji.

Mbeya ht double road hakuna, mbeya hakun stand, hiyo SIA (songwe int'l airport) mpk ss hakun terminal, hakun mataa. Mbeya hain chcht cha serikali hkun kitu.

Jitihad za wenyeji zimepelekea jiji na mkoa ule ushindane na supported cities nchin.

TokJPM aingie madarkn kajenga jengo moja tu la hospital ya META na mpk ss kwa SAMIA hajafny lolote yan hamn kitu.

Mbeya inetengwa sn km ingepewa support km zipewavyo arusha, dom, dar na mwanza.

Probably mbeya ingekua nchi ndan ya nchi. Yan mapato yake yangekuwa sawa n taifa zima
Mwanza kuna chuo chochote cha serikali au kuna hospitali yoyote ya rufaa ya serikali? Hiyo mbeya imebebwa sana tu na serikali kuliko Mwanza.
 
Meli hazijengwa huko ziwa nyasa? Kiwana cha ndege cha Mwanza kinajengwa kwa pesa za halmashauri adi sasa ujenzi umesimama, nyinyi mbeya wakati mnajengewa soko kubwa la mwanjelwa mwanza ilikuwa na soko gani? Wakati mnajengewa stendi kubwa pale mwanza ilikuwa na stendi gani? Mnajengewa uwanja wa kimataifa wa songwe wakati hauna abiria kulinganisha na Mwanza bado mnalalamika kuwa mmesahaulika. Mwanza ilisaulika hayamu zote na hatutamsahau magufuli kidogo alitukumbuka. Mwisho naomba unitajie hoteli ya serikali iliyopo Mwanza nami niijue.
 
We jamaa ivi records za mapato ya mikoa miaka 12 iliyopita wakt ambao, Rukwa, songwe, sehem ya njombe ilikua mkoa wa mbeya. Mwanza ilikua inahaha tu mbali kbsa kwa mbeya
We naye utakuwa una shida kichwa, Mkoa wa geita na simiyu ilikuwa wapi kama si Mwanza. Kumbuka kwasasa gdp ya mbeya na geita kuna gap kidogo sana. Je Geita ingekuwa bado ni sehemu ya Mwanza tungekuwa wapi kiuchumi?
 
Mwanza kuna chuo chochote cha serikali au kuna hospitali yoyote ya rufaa ya serikali? Hiyo mbeya imebebwa sana tu na serikali kuliko Mwanza.
Tena sana...kujengwa songwe international airport ilikuwa ni upendeleo usio na kificho ,Kwa abiria Gani waliopo mbeya ,,ATCL ndo wameanza kwenda juzi Mara nne Kwa wiki . wakati mwanza wanaenda Mara 28 Kwa wiki yaani Mara nne Kwa siku..
 
We naye utakuwa una shida kichwa, Mkoa wa geita na simiyu ilikuwa wapi kama si Mwanza. Kumbuka kwasasa gdp ya mbeya na geita kuna gap kidogo sana. Je Geita ingekuwa bado ni sehemu ya Mwanza tungekuwa wapi kiuchumi?
Af alivyo muongo ni wapi rukwa na njombe zilikuw mbeya ....hizo rukwa na njombe hazina hata GDP ya trillion 3
 
Miaka 12 iliyopita geita yenye GDP trillion 6.7 na mwanza yenye GDP trillion 11 na simiyu zilikuw mkoa mmoja ...[emoji847] ..sasa jumlisha GDP ya mbeya na songwe then jumlisha GDP ya mwanza na geita Kisha nambie Nan mkubwa wao
Kwa hiyo miaka 12 iliyopita hizo GDP za mikoa zilikuwa na figure ulizotaja?

Punguza uboya basi.
 
Tena sana...kujengwa songwe international airport ilikuwa ni upendeleo usio na kificho ,Kwa abiria Gani waliopo mbeya ,,ATCL ndo wameanza kwenda juzi Mara nne Kwa wiki . wakati mwanza wanaenda Mara 28 Kwa wiki yaani Mara nne Kwa siku..
Uwanja wa Kimkakati kwa biashara ya Sadc.Pia uwanja utatumika na ndege za Kimataifa baada ya kupata certificate ya Usalama nk kutoka kwenye mamlaka za Usafiri wa anga Duniani.
 
Meli hazijengwa huko ziwa nyasa? Kiwana cha ndege cha Mwanza kinajengwa kwa pesa za halmashauri adi sasa ujenzi umesimama, nyinyi mbeya wakati mnajengewa soko kubwa la mwanjelwa mwanza ilikuwa na soko gani? Wakati mnajengewa stendi kubwa pale mwanza ilikuwa na stendi gani? Mnajengewa uwanja wa kimataifa wa songwe wakati hauna abiria kulinganisha na Mwanza bado mnalalamika kuwa mmesahaulika. Mwanza ilisaulika hayamu zote na hatutamsahau magufuli kidogo alitukumbuka. Mwisho naomba unitajie hoteli ya serikali iliyopo Mwanza nami niijue.
Soko la Mbeya halijajengwa na Serikalini bali ni mapato ya ndani ya Jiji na Nssf na ni soko la ubia..

Mbeya kuna stand kubwa ipi? Acha ujinga we jamaa,stand ya Uyole ilikuwa kwenye mradi wa strategic cities ambapo na Mwanza ilikuwemo so kila Halmashauri ilichagua mradi wanaotaka..

Hotel ziwe za serikali Ili iweje? Hata hivyo Pale gold crest na Nssf hotel hizo ni za Serikali kupitia hayo mashirika ya umma.
 
Uwanja wa Kimkakati kwa biashara ya Sadc.Pia uwanja utatumika na ndege za Kimataifa baada ya kupata certificate ya Usalama nk kutoka kwenye mamlaka za Usafiri wa anga Duniani.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787]eti uwanja wa kimkakati wa sadc ... kipind unajengwa na kikwete enzi zile mwandosya alikuwa waziri walisema utarahisisha usafirishaji wa maua kwenda ulaya ...yaani sadc waje wafanye nn mbeya .... uwanja wa mwanza unaopokea ndege za shirika la Ethiopian airlines na rwandair wenyewe tusemeje.....kiufupi ni elephant project.
 
Soko la Mbeya halijajengwa na Serikalini bali ni mapato ya ndani ya Jiji na Nssf na ni soko la ubia..

Mbeya kuna stand kubwa ipi? Acha ujinga we jamaa,stand ya Uyole ilikuwa kwenye mradi wa strategic cities ambapo na Mwanza ilikuwemo so kila Halmashauri ilichagua mradi wanaotaka..

Hotel ziwe za serikali Ili iweje? Hata hivyo Pale gold crest na Nssf hotel hizo ni za Serikali kupitia hayo mashirika ya umma.
Gold crest sio hotel ya serikali ,,ni wapangaji wa pssf ....hamna hotel ya nssf mwanza ...be sound in mind please
 
Jitihada za serikali ndio zimefanya mbeya ikawa jiji
Mpaka mwaka 2019 mbeya ilikuwa bado haina vigezo vya kuwa jiji Kwa mujibu wa Sheria ya bunge ya mipango miji na serikali za mitaa
Jiji Lina Sifa zifuatazo .
1 idadi ya watu wanaozidi laki 5 ( rejea sensa 2012 uone mbeya)
2 uwezo wa kujiendesha kimapato Kwa asilimia 95
3 miundombinu na huduma Bora
4 asilimia 90+ ya wakazi wake wasitegemee kilimo
5 uwekezaji mkubwa katika viwanda
6 uwepo wa recreation center (parks,zoo,beach,n.k)
7uwepo wa vituo vya kimataifa ( kumbi za mikutano ,ofisi za pamoja n.k)
8 mzunguko mkubwa wa watu na biashara
9 uwepo wa hotel at least 4 stars na 3 stars
10 ukubwa wa mji atleas km 15 kutoka CBD
11 vituo vikubwa vya elimu( vyuo vikuu)
ANGALIA HAPA UONE MBEYA INA SIFA NGAPI
Weka vigezo hapa kutoka Tamisemi maana unapenda sana kutunga upuuzi unaokufurahisha wewe..

Nataka maandishi ya kigezo kinachosema wakaazi wawe laki 5 plus,kigezo kinachosema eti ukubwa wa Mji uwe angalau km 15 kutoka CBD.
 
Soko la Mbeya halijajengwa na Serikalini bali ni mapato ya ndani ya Jiji na Nssf na ni soko la ubia..

Mbeya kuna stand kubwa ipi? Acha ujinga we jamaa,stand ya Uyole ilikuwa kwenye mradi wa strategic cities ambapo na Mwanza ilikuwemo so kila Halmashauri ilichagua mradi wanaotaka..

Hotel ziwe za serikali Ili iweje? Hata hivyo Pale gold crest na Nssf hotel hizo ni za Serikali kupitia hayo mashirika ya umma.
Kwan serikali inajengea mapato ya wapi kama sio ya ndani ..au unadhani serikali inatoa wapi pesa kama sio Kodi za wananchi
 
Back
Top Bottom