MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Kilimanjaro Ni mkoa uliodorora kabisa.Kuna kitu sijakielewa vizuri kuhusu Moshi. Yaani na kelele zote za wachaga kujisifia kwamba sijui wanaongoza kipato kitaifa, katika top 50 kuna halmashauri yao moja tu?? Tena mji wao mkuu??[emoji2][emoji2]
Namba hazidanganyi
Hakuna biashara au heka heka za kiuchumi, na ndio maana hata wao wenyewe wanaongoza kukimbia kwao.