Orodha ya majiji, miji na wilaya zenye mzunguko mkubwa wa hela Tanzania

Yaani huwezi kuelewa maana ya council..mwanza cc haina ilemela ndani yake ...Ina nyamagana tu .then ukitumia kigezo Cha kuunganisha halmashauri basi unganisha msalala na kahama na ushetu .ili wilaya ya kahama iwe juu ya mbeya hapo Kwa mapato..
Exactly wengi hawaelewi nabishana sana na watu ofcn
 
Dodoma haiwezi zidi mzunguko wa pesa Mwanza, hata ukifatilia Container toka china kwenda Mwanza ninnyingi kuliko ziendazo Dodoma.
Hata maisha ya mmoja mmoja Mwanza wako vizuri
Eneo linaweza kua na mzunguko mkubwa ila kwa mapato ikazidiwa na eneo lenye mzunguko mdogo mfano Tanga inaizidi mbeya kwa mapato sababu Tanga kuna vyanzo ambavyo Mbeya hawana mfano viwanda vya cement vitatu, chokaa, chuma,vipodozi, bandari na makampuni makubwa ya mafuta
 
Dsm jiji ni Ilala
 
Hakuna Jiji la Dar es Salaam,
Jiji ni Ilala.
Kino, TMK,Kg ni mikoa.
Kuna mkuu wa mkoa wa Temeke Jokate Mwegelo that's an example.
Kino, TMK, Ubungo n.k ni Halmashauri za Manispaa kama ilivyo Kigoma/Ujiji, Sumbawanga, Kahama n.k
 
Ulikuwa unataka moshi iwe ya kwanza?
 
Sasa mzunguko utatoka wapi kama hakuna incentives za kuleta pesa?

Tanga inaizidi Mbeya Kwa sababu Tanga Kuna vitega uchumi vya kuleta pesa na hivyo Tanga ina mzunguko mkubwa wa biashara kuliko Mbeya..
 
Sasa mzunguko utatoka wapi kama hakuna incentives za kuleta pesa?

Tanga inaizidi Mbeya Kwa sababu Tanga Kuna vitega uchumi vya kuleta pesa na hivyo Tanga ina mzunguko mkubwa wa biashara kuliko Mbeya..
Lakim hatakama tanga imeizid mby, ila kiujumla mkoa wa mbeya unaweza ukawa wa pili au wa tatu nyuma ya dsm na mwanza. Wilaya zake zote zinamakusanyo juu ya 4B ko nazan kuna la kujifunza hapa kuwa mby kila kona yake ina fursa ya biashara. Kuna mikoa hapo kama hao Tanga, Moshi, Arusha nk ukitoa maeneo ya miji yao(majiji na Dc zake) hakuna kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hilo uko sahihi yaani ukichukulia kwa perspective ya kutazama Wilaya zake,Mbeya mara nyingi inakuwa namba 3👇
 

Attachments

  • IMG_20220707_062726.jpg
    40.8 KB · Views: 31
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…