Ravalomanana
JF-Expert Member
- Sep 8, 2018
- 1,557
- 1,540
Moshi kuna biashara gani meku, muonewe na naniMoshi mmetuonea!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moshi kuna biashara gani meku, muonewe na naniMoshi mmetuonea!
Huelewi unachokiongea lini mbeya jiji ikafika nafac ya piliMbeya ilitakiwa ifuate baada ya Dar .... Otherwise hizi Ni kelele
Hahaaa eti ingebidiMorogoro ingebidi iwe ya nne hapo sehemu zenyewe idadi kubwa ya watu ndo zina mzungurko mkubwa WA pesa na kufanya mji kukua sasa sijui wewe umetumia kigezo gani
Eti mwanza ipo chini ya dodoma
Hiyo muleba mjini si ni sehemu ya halmashauri ya wilaya sasa tatizo niniMuleba inasapotiwa na visiwa vyilivyomo ndani ya ziwa Lweru. Kelebe Goziba Bumbile na mialo iliyoko jirani. Ila Mleba mjini hamna kitu.
Exactly wengi hawaelewi nabishana sana na watu ofcnYaani huwezi kuelewa maana ya council..mwanza cc haina ilemela ndani yake ...Ina nyamagana tu .then ukitumia kigezo Cha kuunganisha halmashauri basi unganisha msalala na kahama na ushetu .ili wilaya ya kahama iwe juu ya mbeya hapo Kwa mapato..
Eneo linaweza kua na mzunguko mkubwa ila kwa mapato ikazidiwa na eneo lenye mzunguko mdogo mfano Tanga inaizidi mbeya kwa mapato sababu Tanga kuna vyanzo ambavyo Mbeya hawana mfano viwanda vya cement vitatu, chokaa, chuma,vipodozi, bandari na makampuni makubwa ya mafutaDodoma haiwezi zidi mzunguko wa pesa Mwanza, hata ukifatilia Container toka china kwenda Mwanza ninnyingi kuliko ziendazo Dodoma.
Hata maisha ya mmoja mmoja Mwanza wako vizuri
Hakuna Jiji la Dar es Salaam,Sasa kwa Dar huwezi tenganisha Temeke,sijui,Kigamboni,Ubungo nk kwa sababu yote kwa pamoja ni Jiji moja ndio maana imekuwa na figures kubwa.
KitukoHakuna Jiji la Dar es Salaam,
Jiji ni Ilala.
Kino, TMK,Kg ni mikoa.
Kuna mkuu wa mkoa wa Temeke Jokate Mwegelo that's an example.
Dsm jiji ni IlalaWewe nimeamua kuunganisha kwa sababu ni Jiji Moja.Basi iitwe Mwanza DC ndio ufurahi au?
Nimeweka kwa muktadha wa Jiji kiujumla bila kujali hizo classifications za Serikali,the same to Dar..
Dsm wapi ni mjini na wapi ni Kijijini? Mkoa mzima ni Jiji na limeungana kimakazi.
Kino, TMK, Ubungo n.k ni Halmashauri za Manispaa kama ilivyo Kigoma/Ujiji, Sumbawanga, Kahama n.kHakuna Jiji la Dar es Salaam,
Jiji ni Ilala.
Kino, TMK,Kg ni mikoa.
Kuna mkuu wa mkoa wa Temeke Jokate Mwegelo that's an example.
Ulikuwa unataka moshi iwe ya kwanza?Moshi ni dead town, ilikuwa zamani enzi za Panjuani, Arawa hotel n.k mji ukishakuwa na masheria mengi fursa za biashara zinapotea unaendelea kubali hivyo hivyo, watafutaji wanakimbilia sehemu zilizo looz kwa biashara ( la manyani) ninyi endeleeni na vibiashara vyenu vilivyopitwa na wakati vya karanga, ku brash viatu, na umachinga wa kutembea na mabango ya bidhaa halafu mkipata miatano mkanywe mbege ndio maendeleo yenu
Kimaandishi hatusemi jiji la ilala tunasema jiji la dsm ila mipaka yake iko ilala ni kama mwanza jiji ni eneo la nyamagana tuHakuna Jiji la Dar es Salaam,
Jiji ni Ilala.
Kino, TMK,Kg ni mikoa.
Kuna mkuu wa mkoa wa Temeke Jokate Mwegelo that's an example.
Sasa mzunguko utatoka wapi kama hakuna incentives za kuleta pesa?Eneo linaweza kua na mzunguko mkubwa ila kwa mapato ikazidiwa na eneo lenye mzunguko mdogo mfano Tanga inaizidi mbeya kwa mapato sababu Tanga kuna vyanzo ambavyo Mbeya hawana mfano viwanda vya cement vitatu, chokaa, chuma,vipodozi, bandari na makampuni makubwa ya mafuta
Endelea kubishana ila namba ndio zinasomeka hivyo unavyoziona.Exactly wengi hawaelewi nabishana sana na watu ofcn
Lakim hatakama tanga imeizid mby, ila kiujumla mkoa wa mbeya unaweza ukawa wa pili au wa tatu nyuma ya dsm na mwanza. Wilaya zake zote zinamakusanyo juu ya 4B ko nazan kuna la kujifunza hapa kuwa mby kila kona yake ina fursa ya biashara. Kuna mikoa hapo kama hao Tanga, Moshi, Arusha nk ukitoa maeneo ya miji yao(majiji na Dc zake) hakuna kitu.Sasa mzunguko utatoka wapi kama hakuna incentives za kuleta pesa?
Tanga inaizidi Mbeya Kwa sababu Tanga Kuna vitega uchumi vya kuleta pesa na hivyo Tanga ina mzunguko mkubwa wa biashara kuliko Mbeya..
Kwa hilo uko sahihi yaani ukichukulia kwa perspective ya kutazama Wilaya zake,Mbeya mara nyingi inakuwa namba 3👇Lakim hatakama tanga imeizid mby, ila kiujumla mkoa wa mbeya unaweza ukawa wa pili au wa tatu nyuma ya dsm na mwanza. Wilaya zake zote zinamakusanyo juu ya 4B ko nazan kuna la kujifunza hapa kuwa mby kila kona yake ina fursa ya biashara. Kuna mikoa hapo kama hao Tanga, Moshi, Arusha nk ukitoa maeneo ya miji yao(majiji na Dc zake) hakuna kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilifikiri kagera ni ya mwisho kwa Mapato...kumbe ni wa tisa?Una shida kichwani [emoji116]
Kweli hii....Muleba inasapotiwa na visiwa vyilivyomo ndani ya ziwa Lweru. Kelebe Goziba Bumbile na mialo iliyoko jirani. Ila Mleba mjini hamna kitu.