Orodha ya majiji, miji na wilaya zenye mzunguko mkubwa wa hela Tanzania

Orodha ya majiji, miji na wilaya zenye mzunguko mkubwa wa hela Tanzania

Kanda ya Mashariki ipo vizuri zaidi. Dar-, Pwani-Moro.

Alafu watakuja watu watapinga na kusema watu wa Pwani wavivu,na hayo maendeleo wameleta wakuja! ambao Mikoa yao wameshindwa kuiendeleza!
 
Kwa hilo uko sahihi yaani ukichukulia kwa perspective ya kutazama Wilaya zake,Mbeya mara nyingi inakuwa namba 3[emoji116]
Yeah na nazan sasa ni wakati wa serikari kugawanya huduma zake kulingana na uchangiaji wa kila mkoa kwwnye pato la taifa ili kufanya maendeleo ya haraka ni lazima watu waone wanachotoa kikiwasaidia wao moja kwa moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawazo ya kibepari Kama hayo yashindwe kwa jina la Yesu..!!

Yeah na nazan sasa ni wakati wa serikari kugawanya huduma zake kulingana na uchangiaji wa kila mkoa kwwnye pato la taifa ili kufanya maendeleo ya haraka ni lazima watu waone wanachotoa kikiwasaidia wao moja kwa moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dodoma siyo long run ,kwa sababu mapato meng yamechangiwa na ununuz wa viwanja,ujenzi,na weng walikimbilia huko kwa pupa kufungua biashara ,hivyo baada ya miaka mitano Dodoma itashuka sana ,Dodoma naona haina tofaut na timu ya geita gold,inapanda kwa matukio,kwa ushauri wangu sehemu yenye biashara nzuri na unaweza kudumu kwa mda mrefu ni Dar esalaaam,mwanza,mbeya,morogoro na arusha kwingine wanaenda kimatukio
 
Hizo takwimu hutolewa ili kubost hayo maeneo yaliyooneshwa kuwa ni bora zaidi ili tu kuziongezea uwekezaji ila hazifiki kwa Kilimanjaro, Arusha, Mwanza, Mbeya, Iringa, Yaani Kilwa inapazidi Rombo Kilimanjaro 😀😀
 
Back
Top Bottom