Orodha ya majiji, miji na wilaya zenye mzunguko mkubwa wa hela Tanzania

Orodha ya majiji, miji na wilaya zenye mzunguko mkubwa wa hela Tanzania

Kama ni hoja mfu niletee mwaka ambao Arusha iliwahi Kusanya Bil.24 pamoja na full peak ya Utalii ukiacha mwaka huu ulioisha.
Yaani unaongea vitu ambavyo havipo .. nyamagana mwaka Jana walikusanya billion 12 lakini mwaka huu wamekusanya billion 17 .. ilemela walikusanya billion 9 mwaka huu wamekusanya billion 10 ..mbona hatusemi .kuongezeka mapato Kuna factor nyingi .na kama royal tour ingekuwa effective tungeona mapato ya miji ya Moshi,bagamoyo,arumeru, Serengeti,na Zanzibar yakiwa juu.....
 
😁😁 Haya maneno ndio mlikuwa mnajifariji nayo miaka na miaka sasa mnajambiwa na Dom..

Nimekwambia kwa msululu wa Watalii wa mwaka huu mtapitwa..

Mwaka 2020/2021 Arusha ilikusanya Bil.16 ila Utalii ulivyofunguka 2021/2022 wamepata bil.24 sasa unadhani mwakani itakuaje?

Hapo Mwanza mko humo humo Mika yote Yaani bil.22-27.
Udanganywa kuja kweny jumla ya mapato hawatoboi Maisha kumpita tu moro ni kibembe
 
Yaani unaongea vitu ambavyo havipo .. nyamagana mwaka Jana walikusanya billion 12 lakini mwaka huu wamekusanya billion 17 .. ilemela walikusanya billion 9 mwaka huu wamekusanya billion 10 ..mbona hatusemi .kuongezeka mapato Kuna factor nyingi .na kama royal tour ingekuwa effective tungeona mapato ya miji ya Moshi,bagamoyo,arumeru, Serengeti,na Zanzibar yakiwa juu.....
Nyamagana ndio wapi? Hiyo haipo popote kwenye mipaka ya Tanzania ila kuna Mwanza Jiji na Ilemela.
 
Ha

Hajielewi kabisa huyo kiazi ngoja yapigwe overall uone ataona huyo Arusha anakuja kamzidi Tanga pesa chache sana Eti aje fananisha na mwanza anaota wa wapi sijui huyo hajitambui kabisa

Miaka kadhaa nyuma Arusha alikuwa nyuma ya Tanga amerise juzi tu hapa eti aje fananisha na mwanza sijui kaend shule kufanya nn
 
Hata na mimi nimewaza hivyo, kweli Mwanza imeanguka hivyo mpaka kupitwa na Dodoma?

Aidha vijana wa Ruangwa wajitahidi wasimwangushe Waziri Mkuu jamani.
Mwanza haijaanguka ila Dodoma imepaa hapo Kwa sababu ya vyanzo vya mapato vya CDA na miradi yake ya viwanja walipewa halmashauri...
 
Poleni sana Baasheee

Nimefurahishwa na Mafinga TC na Mufindi DC kama wasingetenganishwa hii Wilaya ya Mufindi ingekuwa na mapato ya 14.538Bil ambapo ingekuwa ya 7 Kitaifa...hatari sana kwa kweli.

Miaka miwili ijayo Makambako nayo itaingia top 50
Kukaye hoyee
 
Moshi ni dead town, ilikuwa zamani enzi za Panjuani, Arawa hotel n.k mji ukishakuwa na masheria mengi fursa za biashara zinapotea unaendelea kubali hivyo hivyo, watafutaji wanakimbilia sehemu zilizo looz kwa biashara ( la manyani) ninyi endeleeni na vibiashara vyenu vilivyopitwa na wakati vya karanga, ku brash viatu, na umachinga wa kutembea na mabango ya bidhaa halafu mkipata miatano mkanywe mbege ndio maendeleo yenu
shake well before use. tupo kilamahali. tukienda kula skukuu ndio mnashtuka tuna run DSM
 
Moja kwa Moja kwenye mada,

Leo nawajuza List ya Majiji,Miji,Manispaa na Wilaya 50 Zenye Mzunguko Mkubwa wa Hela hapa Tanzania ambazo zinafaa kwa biashara na uwekezaji..

Kigezo kinachotumika ni Makusanyo ya Mapato ya Ndani kuanzia shilingi Bilioni 4 na kuendelea kama yalivyoandaliwa na Tamisemi kwa mwaka 2021/2022.

Makusanyo hayo yanaashiria kwamba maeneo hayo yana shughuli za Kiuchumi zinazoleta pesa kwa watu na hivyo watu Wana purchasing power nzuri..

Figures are in Billions Tanzania Shilling.

1.Dar es Salaam CC=167.557

2.Dodoma CC=45.108,

3.Mwanza CC=27.688,

4.Arusha CC=24.333'

5.Tanga CC=17.392,

6.Mbeya CC=15.228,

7.Chalinze DC=10.240,

8.Mkuranga DC=10.011,

9.Kahama MC=9.957,

10.Morogoro MC=9.353,

11.Geita TC=9.024,

12.Tunduma TC =8.593,

13.Njombe TC=8.473,

14.Mufindi DC=8.232,

15.Moshi MC=7.570,

16.Tarime DC=6.718,

17.Mafinga TC=6.306,

18.Mbarali DC=6.241,

19.Rufiji DC=6.040,

20.Muleba DC=5.718,

21.Hanang' DC=5.655,

22.Mbinga DC=5.578,

23.Rungwe DC=5.521,

24.Kibaha TC=5.352,

25.Morogoro DC=5.268,

26.Geita DC=5.186,

27.Chunya DC=5.113,

28.Shinyanga MC=5.100,

29.Kilosa DC=5.093,

30.Iringa MC=5.018,

31.Kaliua DC=4.981,

32.Songea MC=4.912,

33.Ifakara TC=4.898,

34.Tabora MC=4.827,

35.Kilwa DC=4.779,

36.Mbeya DC=4.778,

37.Karatu DC=4.746,

38.Kibaha DC=4.664,

39.Msalala DC=4.634,

40.Misenyi DC=4.595,

41.Tandahimba DC=4.507,

42.Tanganyika DC=4.452,

43.Rungwe DC=4.421,

44.Tunduru DC=4.400,

45.Bagamoyo DC=4.322,

46.Singida MC=4.286,

47.Igunga DC=4.207,

48.Wanging'ombe DC=4.186,

49.Ngara DC=4.142,

50.Njombe DC=4.001..

My Take..

Mikoa ya Dsm, Pwani, Mbeya, Morogoro,Njombe na Shinyanga Wilaya zake ziko vizuri sana.👇

View attachment 2313627View attachment 2313628
Sijaona bukoba ya instanbul.
 
Nyamagana ndio wapi? Hiyo haipo popote kwenye mipaka ya Tanzania ila kuna Mwanza Jiji na Ilemela.
Unajiabisha bure, kwenye mipaka ya tanzania Kuna wilaya ya nyamagana, unaposikia Mwanza City Council inakusanya na kuhudumu ndani ya Wilaya za nyamagana tu. Ila unaposikia jiografia ya Jiji la Mwanza ni Wilaya za nyamagana na ilemela, kule ilemela wanahudumiwa na ilemela manicipal.
 
Unajiabisha bure, kwenye mipaka ya tanzania Kuna wiaya ya nyamagana, unaposikia Mwanza City Council inakusanya na kuhudumu ndani ya Wilaya za nyamagana tu. Ila unaposikia jiografia ya Jiji la Mwanza ni Wilaya za nyamagana na ilemela, kule ilemela wanahudumiwa na ilemela manicipal.
Anajitoa ufahamu tu ...ni sawa na halmashauri ya jiji la dar es salaam ilikuwa ni ilala pekee..
 
TRA hawatoi kiwilaya bali kimkoa,wakofanya update nitayaleta..

Mimi naamini mapato ya Halmashauri ndio kipimo sahihi kwa sababu sehemu kubwa ni shughuli za moja kwa moja za Wananchi badala ya mapato ya TRA ya migodi na mali asili za Nchi kama Utalii nk.
Kwenye halmashauri TRA hawatozi kodi kutoka kwa wafanyabiashara mbali mbali?
 
Nyamagana ndio wapi? Hiyo haipo popote kwenye mipaka ya Tanzania ila kuna Mwanza Jiji na Ilemela.
Soma hapa ndo uelewe ....
Screenshot_20220805-215208.jpg
 
Back
Top Bottom