Orodha ya majiji, miji na wilaya zenye mzunguko mkubwa wa hela Tanzania

In addition,mji hauruhusu interaction utakua kwenda wapi!?

Kununua ardhi na Kupanga kwenyewe unaulizwa kabila na dini dah huo mji mgumu sana,,,

Nahis ndio mji unaongoza kwa rushwa na kukwepa kodi,,not researched but its distinct from all places I ever been kwenye janja janja za rushwa na ndio maana unakuwa mgumu kwa wafanyabiashara haswa wasipotoa rushwa,,,,

Hapo ndo utaelewa kwa nn Mangi alienda UK kuomba uhuru wa Kilimakyaro,,,,

I stand to be challenged
 
Kumbuka Jiji LA Mwanza ni Wilaya ya Nyamagana tu. Wilaya ya Ilemela ni Manspaa ! Halafu unasema Arusha aizidi Mwanza thubutuu
Watu wa mwanza mnashida sana, mwanza cc na arusha cc ndio zichuane ukisema sijui ilemela haipo, kwan usa ipo arusha cc..?? Mfano mbeya cc ni wilaya ya mbeya mjini lkn mbeya cc, haina mbalizi humo ndani wala songwe wala usangu wala igawilo, kwasbb hizo zipo mbeya mc. Kwamfano takwimu za mikoa ni kwel utaona DSM, MWANZA, MBEYA, ARUSHA kwenye top 4. Ni miaka yote. Top 4 kimikoa MWANZA MBEYA NA ARUSHA hushindana siku zote. Arusha ina wilaya zenye mzunguko mkubwa tu wa pesa mfano karatu.. Pia mbeya ndio kila wilaya wao ni pesa tu, bahati mbaya mbeya imegawanywa mno ndio imepelekea mkoa kuzidiwa kidg kwa mwanza lkn zaman kabla ya mkoa wa songwe, ilikua baada ya DSM ni MBEYA
 
Mtoa mada huwez kuongelea mzunguko wa pesa ktk mji fulan kwa kigezo cha makusanyo ya serikali.

Note. Mji fulani unaweza kuwa mdogo sn na ukawa na wakazi wachache sn lkn mzunguko wa pesa ukawa juu sn, japo kwa udogo wa mji ukazidiwa makusanyo na mji mkubwa. Mapato makubwa ya halmashauri huwa ni license, service levy, hotel levy, fees za ardhi na fees za natural resources,

Mfano. Moshi inaweza kuwa na makusanyo mengi kuriko katolo geita, lkn katolo ikawa na mzunguko mkubwa wa pesa.

Mzunguko wa pesa ktk eneo huathiriwa na mambo mengi lkn kubwa ni geographic location ya eneo, shughuli za uzarishaji mali na idadi ya watu ktk eneo husika.

Dodoma inakuj juu ya mwanza cc shauri ya geography yk imeipa nafas ya kuwa-capital city.. Hivyo shughuli za maendeleo Dom ni nying sn kwass,

Tanga haina mzunguko mzuri wa pesa kuizid mbeya lkn inakuwa juu ya mbeya shauri ya eneo lake lina bandari inayochochea shughuli za ukusanyaji kuwa juu.

Ila kuna maeneo mzunguko wa pesa uko juu na makusanyo yako juu mfano ni DAR, MAFINGA, MWANZA, KAHAMA NA TUNDUMA.
 
Wasikuzingue,hayo mapato ya Mwanza nimejumuisha na Ilemela
 
Acha porojo,ukiona Mji wako hauko kwenye list jua ni kijiji tuu..

Pili Kwa case ya Tanga,mapato ya bandari hayaingii Halmashauri na pia namba ndio zinaongea zaidi kuliko mdomo.
 
Kwa hiyo Mwanza ndo haijagawanywa eti?! Mkoa wa Geita umegawanywa kutoka mkoa gani? Wilaya ya busega mkoani simiyu imemegwa kutoka mkoa gani? Hakuna mwaka toka dunia iumbwe mbeya ilizidi Mwanza.
 
Wasikuzingue,waambie kwenye hiyo Orodha Wakupe Wilaya 2 tuu za Mwanza ambazo zina mapato kuanzia bil.4 kwenda..
 
Kwa hiyo Mwanza ndo haijagawanywa eti?! Mkoa wa Geita umegawanywa kutoka mkoa gani? Wilaya ya busega mkoani simiyu imemegwa kutoka mkoa gani? Hakuna mwaka toka dunia iumbwe mbeya ilizidi Mwanza.
Acha kujifariji wewe kiazi,Kwenye Orodha umeona Halmashauri ngapi za Mwanza zime feature kwenye list ukitoa Mwanza Mjini?

Simply huko kwingine kumejaa maskini tuu kama wewe mnabwatuka hovyo 😆😆..

Kwenye List imekosekana Halmashauri ya Kyela na Busokelo tuu,Kyela yenyewe next year ita feature.
 
We jamaa unaongea utopolo.kwan mwanza haijagawanywa na kuzaa geita na simiyu..ebu jumlisha mapato uone
 
Point[emoji122][emoji122][emoji122]
 
This will always speak louder than above nosense[emoji91]
 
You nailed it.
 
Hakuna taarifa ya maana hapo tuzungumze mambo ya Msingi ktk taifa,kama katiba nchi inaumwa sana sana na wananchi wake wanateseka sana sana.
 
Matumizi ya mafuta yanaonyesha wapi Kuna mzunguko mkubwa wa watu na biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…