Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Siyo kweli!Zote zimejumuishwa hapo( Dsm cc=75.27,,Kinondono 47.25,Temeke 36.56,Ubungo 27.86, Kigamboni 10.77)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kweli!Zote zimejumuishwa hapo( Dsm cc=75.27,,Kinondono 47.25,Temeke 36.56,Ubungo 27.86, Kigamboni 10.77)
Una shida kichwani 👇Siyo kweli!
Yaani anatumia mapato ya halmashauri..kupima mzunguko wa pesa.[emoji16][emoji16][emoji38] Mara mia angetumia mapato ya TRA .Dodoma haiwezi zidi mzunguko wa pesa Mwanza, hata ukifatilia Container toka china kwenda Mwanza ninnyingi kuliko ziendazo Dodoma.
Hata maisha ya mmoja mmoja Mwanza wako vizuri
Poleni sana BaasheeeMoshi mmetuonea!
Wewe nimeamua kuunganisha kwa sababu ni Jiji Moja.Basi iitwe Mwanza DC ndio ufurahi au?Yaani huwezi kuelewa maana ya council..mwanza cc haina ilemela ndani yake ...Ina nyamagana tu .then ukitumia kigezo Cha kuunganisha halmashauri basi unganisha msalala na kahama na ushetu .ili wilaya ya kahama iwe juu ya mbeya hapo Kwa mapato..
TRA hawatoi kiwilaya bali kimkoa,wakofanya update nitayaleta..Yaani anatumia mapato ya halmashauri..kupima mzunguko wa pesa.[emoji16][emoji16][emoji38] Mara mia angetumia mapato ya TRA .
Kabishane na Tamisemi 😆😆😆😆.Dodoma haiwezi zidi mzunguko wa pesa Mwanza, hata ukifatilia Container toka china kwenda Mwanza ninnyingi kuliko ziendazo Dodoma.
Hata maisha ya mmoja mmoja Mwanza wako vizuri
Yote Hii ni baada ya Dom kuchakaza Mwanza 😀😀😀😀Pili ...fursa za uwekezaji na potentiality ya eneo kiuchumi haipimwi Kwa mapato ya halmashauri.......zinapimwa Kwa GDP na purchasing power parity
Bas unganisha kahama na msalala.Wewe nimeamua kuunganisha kwa sababu ni Jiji Moja.Basi iitwe Mwanza DC ndio ufurahi au?
Nimeweka kwa muktadha wa Jiji kiujumla bila kujali hizo classifications za Serikali,the same to Dar..
Dsm wapi ni mjini na wapi ni Kijijini? Mkoa mzima ni Jiji na limeungana kimakazi.
Mapato ya halmashauri ni parking, guest house, stendi na cross border.TRA hawatoi kiwilaya bali kimkoa,wakofanya update nitayaleta..
Mimi naamini mapato ya Halmashauri ndio kipimo sahihi kwa sababu sehemu kubwa ni shughuli za moja kwa moja za Wananchi badala ya mapato ya TRA ya migodi na mali asili za Nchi kama Utalii nk.
Mbeya tunahitaji Mabadiliko ya DED,Mbeya sio ya kuzidiwa na Tanga..Mbeya ilitakiwa ifuate baada ya Dar .... Otherwise hizi Ni kelele
Kwa mauzo ya viwanja au .... mapato ya halmashauri vyanzo vyake unavijua lakini au unaongea tu ,...Yote Hii ni baada ya Dom kuchakaza Mwanza [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe unaona biashara mpya Mbeya?Mbeya tunahitaji Mabadiliko ya DED,Mbeya sio ya kuzidiwa na Tanga..
Huu ni mwaka wa 3 mfululizo Jiji la Mbeya lime stack kwenye 15bln..
Je hakuna uwekezaji mpya? Hakuna biashara mpya? Watu hawaongeseki?
Huu ni uzembe wa Hali ya Juu.