Orodha ya majiji, miji na wilaya zenye mzunguko mkubwa wa hela Tanzania

Attachments

  • Screenshot_20220803-094105.png
    Screenshot_20220803-094105.png
    49 KB · Views: 60
Yaani huwezi kuelewa maana ya council..mwanza cc haina ilemela ndani yake ...Ina nyamagana tu .then ukitumia kigezo Cha kuunganisha halmashauri basi unganisha msalala na kahama na ushetu .ili wilaya ya kahama iwe juu ya mbeya hapo Kwa mapato..
 
Dodoma haiwezi zidi mzunguko wa pesa Mwanza, hata ukifatilia Container toka china kwenda Mwanza ninnyingi kuliko ziendazo Dodoma.
Hata maisha ya mmoja mmoja Mwanza wako vizuri
Yaani anatumia mapato ya halmashauri..kupima mzunguko wa pesa.[emoji16][emoji16][emoji38] Mara mia angetumia mapato ya TRA .
 
Yaani huwezi kuelewa maana ya council..mwanza cc haina ilemela ndani yake ...Ina nyamagana tu .then ukitumia kigezo Cha kuunganisha halmashauri basi unganisha msalala na kahama na ushetu .ili wilaya ya kahama iwe juu ya mbeya hapo Kwa mapato..
Wewe nimeamua kuunganisha kwa sababu ni Jiji Moja.Basi iitwe Mwanza DC ndio ufurahi au?

Nimeweka kwa muktadha wa Jiji kiujumla bila kujali hizo classifications za Serikali,the same to Dar..

Dsm wapi ni mjini na wapi ni Kijijini? Mkoa mzima ni Jiji na limeungana kimakazi.
 
Yaani anatumia mapato ya halmashauri..kupima mzunguko wa pesa.[emoji16][emoji16][emoji38] Mara mia angetumia mapato ya TRA .
TRA hawatoi kiwilaya bali kimkoa,wakofanya update nitayaleta..

Mimi naamini mapato ya Halmashauri ndio kipimo sahihi kwa sababu sehemu kubwa ni shughuli za moja kwa moja za Wananchi badala ya mapato ya TRA ya migodi na mali asili za Nchi kama Utalii nk.
 
Wewe nimeamua kuunganisha kwa sababu ni Jiji Moja.Basi iitwe Mwanza DC ndio ufurahi au?

Nimeweka kwa muktadha wa Jiji kiujumla bila kujali hizo classifications za Serikali,the same to Dar..

Dsm wapi ni mjini na wapi ni Kijijini? Mkoa mzima ni Jiji na limeungana kimakazi.
Bas unganisha kahama na msalala.
 
TRA hawatoi kiwilaya bali kimkoa,wakofanya update nitayaleta..

Mimi naamini mapato ya Halmashauri ndio kipimo sahihi kwa sababu sehemu kubwa ni shughuli za moja kwa moja za Wananchi badala ya mapato ya TRA ya migodi na mali asili za Nchi kama Utalii nk.
Mapato ya halmashauri ni parking, guest house, stendi na cross border.
Sasa hizo zinawagusaje wananchi?
 
Mbeya ilitakiwa ifuate baada ya Dar .... Otherwise hizi Ni kelele
Mbeya tunahitaji Mabadiliko ya DED,Mbeya sio ya kuzidiwa na Tanga..

Huu ni mwaka wa 3 mfululizo Jiji la Mbeya lime stack kwenye 15bln..

Je hakuna uwekezaji mpya? Hakuna biashara mpya? Watu hawaongeseki?

Huu ni uzembe wa Hali ya Juu.
 
Wewe unaona biashara mpya Mbeya?
Ukiona sehemu hakuna ujenzi wa miundo mbinu ya biashara, ujue hali siyo.
Hata nyumba za kuishi tu ujenzi umestacka au upo kidogo sana.
 
Back
Top Bottom