Jimbo la Segerea -ChaumaKuna majimbo kadhaa yatatokewa kama zawadi kwa vyama shikizi ili kuhalalisha uchaguzi wa 2025.
Je wagombe wa CCM kwenye hayo majimbo wanajijua kuwa watatolewa kafara.
Tuwatonye mapema ili wasitumie nguvu nyingi kwenye uchaguzi.
Wewe kama unayajua kwa nini usiyataje? Unataka sisi ndiyo tuanze kupiga ramli chonganishi ili iweje?Kuna majimbo kadhaa yatatokewa kama zawadi kwa vyama shikizi ili kuhalalisha uchaguzi wa 2025.
Hawa guts za Kuitoa kinondoniJimbo la Segerea -Chauma
Jimbo la Kigamboni -ACT
Jimbo la Serengeti -ACT
Jimbo la Kigoma mjini -ACT
Jimbo la Kinondoni -ACT
Jimbo la Morogoro -Chauma
Ni sahihi na system ina ikuza chauma kwa manufaa ya systemJimbo la Segerea -Chauma
Jimbo la Kigamboni -ACT
Jimbo la Serengeti -ACT
Jimbo la Kigoma mjini -ACT
Jimbo la Kinondoni -ACT
Jimbo la Morogoro -Chauma