Orodha ya makabila yaliyojaza sehemu mbali mbali DSM

Orodha ya makabila yaliyojaza sehemu mbali mbali DSM

UKABILA = matendo au mawazo ya mtu kuthamini kabila lake tu na kubagua makabila mengine

Hapo ukabila upo wapi ?
Watu hawajui maana Ya ukabila..
Hata kufata Mila za Mtu Mbele ya watu wengine bado utaambiwa ni ukabila..

Ukabila ni Ubaguzi kama haujafanya ubaguzi wowote na unafat mila za kabila lako hauitwi ukabila unaitwa Culture heritage..
Hata hiyo uliyoongelea hapa kwenye huu Uzi ni culture heritage
 
Nawashangaa sana hawa watu,, hizi nilizoweka ni statistics tu watu wa kabila flani wamejazana sehemu flani.

suala la ukabila ni kutanguliza maslahi ya kabila lako kwenye vitu vya kitaifa hasa kwa wenye mamlaka serikalini ya kufanya maamuzi ya kuajiri, kutoa mikopo, kugawa rasilimali, kugawa tenda, scholarships, maamuzi ya bajeti ya taifa, n.k.
 
Back
Top Bottom