Jamesdominic
JF-Expert Member
- Nov 26, 2022
- 549
- 732
Again Ukabira huu.Nawashangaa sana hawa watu,, hizi nilizoweka ni statistics tu watu wa kabila flani wamejazana sehemu flani.
suala la ukabila ni kutanguliza maslahi ya kabila lako kwenye vitu vya kitaifa hasa kwa wenye mamlaka serikalini ya kufanya maamuzi ya kuajiri, kutoa mikopo, kugawa rasilimali, kugawa tenda, scholarships, maamuzi ya bajeti ya taifa, n.k.