jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Wagogo vingunguti1. Wachaga - Kimara
2. Wakurya - Ukonga hasa Kitunda
3. Wahaya - Mwananyamala na sinza
4. Wapemba - Kigamboni
4. Wanyakyusa - Nyomi lao lipo keko
5. Mbagala - wamakonde
Hii inaweza kutumika kwa watu wa marketing kweny kutaget wateja