Orodha ya makabila yaliyojaza sehemu mbali mbali DSM

Orodha ya makabila yaliyojaza sehemu mbali mbali DSM

Again Ukabira huu.
Kwani kuna mtu asiye na kabila? Kule England niliona watu wa kabila la Wales ambao lugha yao mama sio kiingerza ila Kiwelsh na lugha yao wanaandika haina a,e,i na o. Kabila la Waingereza ndio lugha mama yaani kabila la ufalme wa Uingereza. Kiingereza kwao ni lugha ya 2 kama Kiswahili kilivyo kwa kabila zote nchini labda kabila la Waswahili kama lipo.
 
Watanzania hatupaswi kuishi kwa vikundi vya kikabila...

Tunapaswa kuchangamana...

Maana kimsingi sisi sote ni waswahili...

Mambo ya kukusanyana kabila moja iwe ni huko mlikotoka sio kwenye miji ya watu...
mkuu unawapangia watu pa kuisha as if hizo nyumba unawajengea wewe

freedom of association ni basic human right,hujanyimwa kukaa popote

sema it happens people who are friends and they look like themselves tend to be in the same circles

I couldnt careless anyone lives anywhere he /she wants....its their right

ni rahisi kutupa a word "ukabila" randomly tu as if kabila ni dhambi,au mtu alichagua kuzaliwa kabila gani,kumbe people dont have that choice
 
Kimara noma mpaka harufu ya kitimoto
Sahihi kuna wengine hadi midomo kimara imechongoka kama ya nguruwe kwa kupuliza moto wa kuni na majiko ya kupikia kitimoto .Si unaijua ile midomo ya nguruwe iko kama ya mtu anapuliza moto wa kuni wa kitimoto anachopika

Wengine imeshakuwa na umbo la. Kama Mdomo nguruwe kwa kupuliza moto jikoni jiko la kitimoto ili kiive vizuri watizame midomo yao

Wacha tu wauze kitimoto bei kubwa hata wakizulumu wapuliza moto kazi yao kubwa wacha waive wapunje
 
Back
Top Bottom