jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Wagogo vingunguti1. Wachaga - Kimara
2. Wakurya - Ukonga hasa Kitunda
3. Wahaya - Mwananyamala na sinza
4. Wapemba - Kigamboni
4. Wanyakyusa - Nyomi lao lipo keko
5. Mbagala - wamakonde
Hii inaweza kutumika kwa watu wa marketing kweny kutaget wateja
Wakinga kariakoo..1. Wachaga - Kimara
2. Wakurya - Ukonga hasa Kitunda
3. Wahaya - Mwananyamala na sinza
4. Wapemba - Kigamboni
4. Wanyakyusa - Nyomi lao lipo keko
5. Mbagala - wamakonde
Hii inaweza kutumika kwa watu wa marketing kweny kutaget wateja
Wahindi : Upanga1. Wachaga - Kimara
2. Wakurya - Ukonga hasa Kitunda
3. Wahaya - Mwananyamala na sinza
4. Wapemba - Kigamboni
4. Wanyakyusa - Nyomi lao lipo keko
5. Mbagala - wamakonde
Hii inaweza kutumika kwa watu wa marketing kweny kutaget wateja
Hoja nyepesini kama umenielewa ila kwakua ni hoja usiyoipenda umepanick...
Tuishie hapa.
Doh hii ni nyani.Hoja nyepesi
Kuielewa sio kwamba nimekubaliana nayo
Wewe ni mwehu leo unatumia sababu ya "kabila" kesho utatumia sababu ya nini?
Utajiri?Umasikini?Dini?Rangi?Occupation?etc
Kafie huko