Orodha ya mambo ya uongo na uzushi kwenye siasa za Tanzania

Orodha ya mambo ya uongo na uzushi kwenye siasa za Tanzania

Tupac Lissu alivyosema mbele ya kadamnasi kwenye chuo kimoja huko USA kwamba Magufuli aliambiwa na mganga wake asipande ndege kwenda ulaya.
Hii ni kweli kabisa. Kama unabisha mwambie ajaribu aone... Ndio utajua waganga hawana tofauti na wajumbe
 
Bado tunamtafuta Tundu Lissu ili kupeleleza waliompiga risasi... Kamanda Sirro
 
Lile linalojiita mwanaharakati huru kusema Lissu hajapigwa risasi amepigwa blankoo ?Blankoo angekuwa hivyo?
 
Na nyie mliosoma huko mbeya mnatafutwa kwa nguvu mchangie kujenga choo duuuh 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom