Orodha ya mastaa wa JamiiForums ambao wakipost ni hatari kwa likes na kuchangiwa hoja zao

Ibrahim augustine

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Posts
428
Reaction score
576
Nime amua kuanzisha huu Uzi kulingana na fikra zangu na muda nilio kaa humu jamii forums nimegundua kunanawatu ni mastaa
Yaani waki anzisha Uzi au kuchangia mada za MTU wana kula likes sio mchezo.

Orodha ya mastaa wa JamiiForums

1. dead body: huyu jamaa maranyingi utamkuta jukwaa LA elimu akijaribu kutoa mada kuhusu changamoto za kielimu na mambo ambayo wanafunzi Maranyingi huyapitia katika kipindi chao cha kukaa shule

2. GENTAMYCINE: siongei sana nazani wote tunamjua kwa kuibua changamoto za kimaisha

3. Mama Sabrina: huyu mama sijui nisema Dada nae pia anajitahidi huyu anashika tuzo ya 3 kwa ustaa humu Jamii Forums

4. Maxence Melo: Huyu anachukua tuzo japokua ni muanzilishi wa Jamii forums sema tatizo lake hua anatoa mada Mara moja kwa mwezi kulingana na makadirio yangu.

5. GuDume LA mbegu: Huyu jamaa utamkuta kwenye mada za mape*z akijaribu kutoa mada kulingana na ubora wake

6. Mshana Jr: Siku hizi amepoa sana sijui tatizo nini

7. Bujibuji Simba Nyamaume: Anajitahidi kaza buti kijana

Mastaa wanaokuja kwa kasi (upcoming)

Nahuja
Mjuukuu wa chifu
Algorithm==> blog na technology tips
Sijuti===> blogging ideas

N.k

Bado wapo wengi ila hao ni top 7 kama unawajua wengine malizia hio list hapo.

Najua kuna wengine wata nitukana na kusema napoteza muda wangu kuandika gazeti kama hili lisilo na maana ila kama ni kazi nimesha zifanya hapa najaribu tu kuvuta kamda kidogo na kugawa tuzo kwa wanao stahili

Kama haupo kwenye listi usinilaumu haya ni mawazo yangu

Poleni sana kwa wale wanao andika Uzi halafu hakuna hoja yeyote Uzi wao unadoda utafikiri chakula kilicho chacha hata likes hawajawahi kupata na unakuta hakuna hata MTU yeyote anae m PM.
 
Nime amua kuanzisha huu Uzi kulingana na fikra zangu na muda nilio kaa humu jamii forums nimegundua kunanawatu ni mastaa
Yaani waki anzisha Uzi au kuchangia mada za MTU wana kula likes sio mchezo.
*Orodha ya mastaa wa Jamii forums*

1.@Dead body: huyu jamaa maranyingi utamkuta jukwaa LA elimu akijaribu kutoa mada kuhusu changamoto za kielimu na mambo ambayo wanafunzi Maranyingi huyapitia katika kipindi chao cha kukaa shule

2.@GENTAMYCINE:siongei sana nazani wote tunamjua kwa kuibua changamoto za kimaisha

3.@mama Sabrina:huyu mama sijui nisema Dada nae pia anajitahidi huyu anashika tuzo ya 3 kwa ustaa humu jamii forums

4.@Maxence melo:huyu anachukua tuzo japokua ni muanzilishi wa Jamii forums sema tatizo lake hua anatoa mada Mara moja kwa mwezi kulingana na makadirio yangu.

5.@Gudume LA mbegu:huyu jamaa utamkuta kwenye mada za mape**z* akijaribu kutoa mada kulingana na ubora wake

6.@mshana Jr:Siku hizi amepoa sana sijui tatizo nini

7.@bujibuji:anajitahidi kaza buti kijana

Mastaa wanaokuja kwa kasi (upcoming)
Nahuja
Mjuukuu wa chifu
Algorithm==>blog na technology tips
Sijuti===>blogging ideas

Na mm nipe promo mkuu
 
Nyani Ngabu na Kiranga hawamo kwenye orodha? Mshana Jr nayeye hayumo?
 
Back
Top Bottom