Orodha ya mastaa wa JamiiForums ambao wakipost ni hatari kwa likes na kuchangiwa hoja zao

Orodha ya mastaa wa JamiiForums ambao wakipost ni hatari kwa likes na kuchangiwa hoja zao

Nilichogundua mada za kiwack(mapenzi),Mahoka,Utunzi,Ucheshi ndio zinapendwa sana,Mada zenye mafunzo hazina wachangiaji,hata wewe ukiweka Mada sijui mpenzi wangu anataka nimle jicho naomba ushauri aisee utapata comments za kufa mtu ila anzisha mada zinazofikirisha hupati mtu watapita kimyakimya.
 
Mkuu ishu sio likes ishu ni point, kuna watu wanapost threads za maana ila wanapata likes chache ila mtu akipost uzi wa kijinga anapata likes nyingi, likes sio kipimo cha u-genius kijana,
 
Ukiwa staa wa Jf unaingiza sh. ngapi?
Afadhali akina mzee Majuto hupata msaada wa matibabu
 
Back
Top Bottom