Orodha ya mastaa wa JamiiForums ambao wakipost ni hatari kwa likes na kuchangiwa hoja zao

Sijui na mimi nimo au la

 
na mimi blindspot
 
Kumbe nami ni mgeni humu jf .. Wengi wao hapo juu siwajui
 
a
yaani nashangaa..sijui kaenda wapi aisee
atakua kapewa life ban nn?? ngoja tumuulize Da'vinc Mzee wa kujua multiple id atuambie id mpya ya rfk yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…