Orodha ya mastaa wa JamiiForums ambao wakipost ni hatari kwa likes na kuchangiwa hoja zao

Orodha ya mastaa wa JamiiForums ambao wakipost ni hatari kwa likes na kuchangiwa hoja zao

Hahaha
App yako itakuwa na shida wew
I uninstall halaf upakue upya.

Mimi mwenyewe nlivo rud PM zikawa zimepotea
Yaan acha nimehangaika wewee leo kuna mtu kanielekeza app ikakubali nitajaribu siku nyingine,nilikuwa natumia browsernikawa nawawekea marangi kwa hasira tu za kushindwa kulogin
 
hahaaa hovyo kabisa...kwenye ufalme wa Mungu wewe ukiwepo mimi nakata rufaa
Ahhahahaha utashangaaa nipo halaf wewe motoni ndio utakapojiuliza mbona li mama sabrina lina dhambi nyingi kumbe hizo dhambi ulikuwa unanivesha tu
 
Ahhahahaha utashangaaa nipo halaf wewe motoni ndio utakapojiuliza mbona li mama sabrina lina dhambi nyingi kumbe hizo dhambi ulikuwa unanivesha tu
hahaa huyo Mungu akikuweka na wew itakuwa ameanza kupokea miamala ..sio bure
 
Kilichonikimbiza Facebook ni kuona watu wazima wanalilia likes saiz naliona hili jamii forum

Nahis mbio zitanihusu
 
Back
Top Bottom