Orodha ya mastaa wa JamiiForums ambao wakipost ni hatari kwa likes na kuchangiwa hoja zao

Wee kwenye ukuda huwaga hukosekanii nashangaa unatupondaa
sishindi kwenye ukuda pekee thats why ...Nina majukwaa pendwa zaidi ya hayo ...hata wewe mwenyew huwa nakuonaga kwenye majukwaa yenye hoja fikirishi...kitu ambacho nitofauti na kwamtoa mada...yeye anaganda huku huku tu ..so wadhani watu kama Mwanahabari Huru @kiranga.@deception atawajulia wap
 
Hapana nadhani ye katoa list ya upande wa majukwaa ya MMU,chitchat hao wanajulikana kwa nondo za hatari humu toka zamani
 
Kuandamana kwenyewe hatuwezi acha tuchekeshane tu
Hahaha
Huwa nawashangaa watu wanao jifanya wako sirias hapa bongo. Wangekuwa siriaz Magufuli angewechezea kama anavo taka hivi?[emoji23]
Bora tujikite kwenye burudani tuu maana mengine yasha tushinda
 
Iceman ndio maana huwa nakupenda mnooo,wakiwa jf siriaz kweli na kutuponda sisi huku eti mada za kipuuzi watuache na kelele zao za kwenye keyboard
Na tunajikita zaidi kwenye burudani
 
Back
Top Bottom